Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

 
Kuripoti kwa askar ccp hakuzuii kuruti kwenda.. ccp ni kubwa sana. Kuna kilele poli kuna kilimanjaro na n.k.. kuruti anaweza asionane na askari wa kutafta nyota miezi yote ya kozi...

Lakin kaa ukijua kwamba kuruti anaenda kabla ya january.. hilo swala la january halipo..

Haya mambo waachie wandani usiskilize story za pongo wako (constable) yeye pia hajui lolote kama wewe anasubiri maelekezo tu.
Ni sawa kabisa,la msingi vijana waitwe tu hata ikiwa sasa hivi nina uhakika wamejiandaa tayari.
 
Hahahahah, Awiiiih (kwa sauti ya Afande IGP Simon S)

Kuweni wavumilivuu.. Mambo mazuri hayataki haraka.
 
Katika jambo sipend kusikia humu ni swala la kua et PT wanatoa pdf yao january jambo ambalo halina ukweli kabisa...

Tangazo la kazi mwezi wa 8
Usaili mwezi wa 9
Kuitwa kozi mwezi wa 1.

Ushawahi kuona wapii.. taasisi zote huwa wanajipanga kwenye mtiririko wa matukio hawakurupuki .. hivyo mnaosema kozi jnuary mnajidanganya.

Lonja: Kuanzia jana kuna walio anza kuingia ccp kupiga kozi ya nyota. Wengine tena !!
Kataa ila huo ndo ukweli ..kozi january
 
Hapo kwenye Red mwenye taarifa zaidi kinacho endelea atupe
Screenshot_20211019-083012.jpg
 
Kuna mtu ameenda kozi ya nyota, amesema amepata taarifa kua pale ccp wanaenda kuruta alaf kozi ya kopro walitakiw kwenda pale wanaenda sehem nyingine ili kusapisha kuruta, kwaio mambo yanaweza kua hadharan soon maafande tuendelee kushona,
 
Kwanza niwatoe wasiwasi kama uliitwa kwa ngazi ya elimu ya juu basi asilimia 90 tegemea kuona jina lako majina n mengi asee
Mmmh mgawanyiko wa nafasi zile upo hivi:-
Degree(Elimu ya Juu) - Nafasi 115
Certificate(astashahada)- Nafasi 268
Form 6(PCM,PGM,PCB) - Div 3 &4- Nafasi 173
Form 4(Div 4-29,30,31 &32- Nafasi 2765.

Kwaiyo jumla kuu ya nafasi za PT ni 3321.
 
Mmmh mgawanyiko wa nafasi zile upo hivi:-
Degree(Elimu ya Juu) - Nafasi 115
Certificate(astashahada)- Nafasi 268
Form 6(PCM,PGM,PCB) - Div 3 &4- Nafasi 173
Form 4(Div 4-29,30,31 &32- Nafasi 2765.

Kwaiyo jumla kuu ya nafasi za PT ni 3321.
Stashahada? Huu mchanganuo tuwaachie wenyewe PT na Utumishi.
 
Mmmh mgawanyiko wa nafasi zile upo hivi:-
Degree(Elimu ya Juu) - Nafasi 115
Certificate(astashahada)- Nafasi 268
Form 6(PCM,PGM,PCB) - Div 3 &4- Nafasi 173
Form 4(Div 4-29,30,31 &32- Nafasi 2765.

Kwaiyo jumla kuu ya nafasi za PT ni 3321.
Umeipata wap hii?
 
Back
Top Bottom