Kutokana na tangazo mkuuUmeipata wap hii?
Tukae kwa kusubiria, hakuna anaye ijua kesho, kuwa na subraKutokana na tangazo mkuu
March .january
Makambajanuary
Masihala haya sasaUsahil unarudiwa
Masihala haya sasa
Acheni kuzusha vitu Visivyo na msingi.Kama ulifanya Usaili Fuatilia Sehemu husika tu Kwa ajili ya lolote linaloendeleaMasihala haya sasa
Na hao vijana wameyapatia maisha kwa sasa maana walipelekwa uchina na marekani kwa ajili ya kozi maalamu. Hao waliokacha sasa hivi watakuwa wanajuta sana, pole yao lakni maana huwenda haikuwa ridhiki yao.Mkuu we acha tu....ile niko six kuna mwana tulikuwa tunatanian kwa kuitana makoplo na tulikuwa tukitoka msuli dom lazima tuwapigie kelele za kuunga jeshi mapema tu.......sasa mwaka wetu ule ndo mambo ya military sayanc yalianza na walipita kambi za dodoma(makutopola), mara(RWANKOMA) na tabora(MSANGE) tu
sasa kambi yangu wala ya jamaa yangu hawakaupita so ikatupita kama ivo .......wadau walivyopigiwa simu kidume nikajipeleka ubungo pale lkn wap kumbe kuna majina daaah hafu ule mwaka wadau kibao walikacha maana walichagua watu wenye one na two wa kombi za sayanci so idadi ikawa ndgo nakumbuka walitakiwa watu 460+ hafu wakaenda 250 hv.....nikaenda hadi ngome kuomba lkin sikufanikiwa hapo stil niko chuo.....
Sema ningeenda pale nichukue jina la mtu ambaye namjua hakwenda ningekomaa nao tu.
Umo?Hatimaye yametimiaaa...Mambo hadharanii
Mbona kwenye website yao hayapo50400 ya NHIF.
Vifaa vingine kama traki zamani ilikuwa unavikuta chuoni aiseeh bado askari wetu wanachukuliwa poa sana.
Ingia Jeshi la Polisi nafasi za kazi utaona Majina mzeeMbona kwenye website yao hayapo?