Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwa vijana mliomaliza 2015 na 16 kidato cha 4 na 6 mmepewa nafasi nanyi kutuma maombi.Mliotuma awali na mmemaliza 15 na 16 na hamkuitwa kwenye usaili tumeni tena pia.
20210912_185833.jpg
 
Hivi inawezekana kwa wale waliomaliza 2017 kuja juu kutuma tena.??
 
Kozi Januari,mchakato bado unaendelea kwa wale waliotuma maombi MM mchakato unasimamiwa kwa umakini sana ili kuepusha mamluki wazee wa Kaunda wapo makini.
 
Kozi ni Januari,lakini kama kutakuwa na mabadiriko labda itafanyikia Zanzibar au Mwanza ila kama ni CCP basi ni Januari.
 
Back
Top Bottom