Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Noma babu, hii nchi bila connection ni ngumu kidogo [emoji23]ahahaha la saba[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma babu, hii nchi bila connection ni ngumu kidogo [emoji23]ahahaha la saba[emoji1787]
Unafeli.Kila Ofisi ya RPC imefanyisha usaili hivyo kila ofisi inatoa list ya vijana kwa aina yao usikariri hiyo uliyoiona ukadhani na ya Ruvuma au Tabora itakuwa hivyo..Hiyo siyo ya mwaka huu.Polisi ya sasa haiwezi kuchukua darasa la saba,pia format yao haitaji mwaka wa kuhitimu.View attachment 1931767
Daaah hatariTanga leo watu wameulizwa maswali ya kimtego kama utaje vyeo vya polisi watu wametoa macho tu..
Sijakuona kwenye usaili polisi mess vipikivipi kwani takwa lilikuwa linatakaje hapo mwanzo....?
NAKWAMBIA HADI 2019 WAPOHAYA SIO YA MWAKA HUU NABISHA ....piga picha kichwa cha habari tuamini.
Mm jina langu likiwepo napenda kuwasoma hadii wanipe jina au wanihoji na kuangalia kwenye system kama nimerudia[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Daaah hatari
Ila mimi ningetaja tu hata rangi za sare zao
LINI?DSM watu wameitwa wakapigishwa funga fungua nyuma geuka, kisha wakaambiwa waondoke usaili watapigiwa simu tena
Hao wana akili sana, policcm hawatakiwi watu wenye akiliAwe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
Tanga walitugomea kupokea cv kwa ambao atujapitia jkt...nilipeleka dodoma hivyo nasubiri kudra za mwenyezi Mungu pengine nitaitwa usailiSijakuona kwenye usaili polisi mess vipi
Hawa ndo waliofaulu usaili ?Hiyo siyo ya mwaka huu.Polisi ya sasa haiwezi kuchukua darasa la saba,pia format yao haitaji mwaka wa kuhitimu.View attachment 1931767
Sawa mkuu kila la kheri ila dodoma usaili ulishaanzaTanga walitugomea kupokea cv kwa ambao atujapitia jkt...nilipeleka dodoma hivyo nasubiri kudra za mwenyezi Mungu pengine nitaitwa usaili
Waliotuma barua za maombi MM-Dodoma ambao elimu zao ni kuanzia Astashahada,Stashahada,Shahada usaili wao bado.Sawa mkuu kila la kheri ila dodoma usaili ulishaanza
Mkuu hapo tanga vijana wanaweza kuitwa tena lini nWaliotuma barua za maombi MM-Dodoma ambao elimu zao ni kuanzia Astashahada,Stashahada,Shahada usaili wao bado.
Dodoma wamefanya usaili wale waliotuma barua kwa RPC ambao ni kidato cha 4 na 6.