Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hiyo siyo ya mwaka huu.Polisi ya sasa haiwezi kuchukua darasa la saba,pia format yao haitaji mwaka wa kuhitimu.View attachment 1931767
Unafeli.Kila Ofisi ya RPC imefanyisha usaili hivyo kila ofisi inatoa list ya vijana kwa aina yao usikariri hiyo uliyoiona ukadhani na ya Ruvuma au Tabora itakuwa hivyo..

Polisi sasa hivi wanatafuta sana Askari wenye ujuzi mbalimbali hasa kama wa kushona wanapendwa sana anaweza huyo wa la 7 akawa na cheti cha VETA cha ushonaji akapenya kwenye usaili akakuacha wewe wa kidato cha 6 PCB..
 
Daaah hatari
Ila mimi ningetaja tu hata rangi za sare zao
Mm jina langu likiwepo napenda kuwasoma hadii wanipe jina au wanihoji na kuangalia kwenye system kama nimerudia[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
 
NAAMINI KUNA CONNECTION PIA MAANA KUNA MTU NAMFAHAMU ALIUNGWA KIRAHISI UNACHET CHA 4 NJOO KAMBINI SEMA KPND CHA MZEE WA MSOGA







WENGINE WALIHANGAIKA WEEEEEEE




ALIIYE MUUNGANISHA ALIKUWA MKUU WA CCP ALIUYEKUJA KUHAMISHIWA MBEYA NA MAUTI IKAMKUTA





ASINGEKUWA AMEKUFA INGEKUWA KITONHGA KOSA LA KWANZA




LA PILI NIME APPLY MAKAO MAKUUU KWA INSPEKTA NA AKATI HATA HAIKUTAKIWA HIVYO NDO MAANA NASHANGAA KAMA JE ITAKUWA MAJINA YALIPELEKWW KWA MKUU WA DODOMA RPC



AU NIMEPIGWA ASWHERE
 
Waliotuma barua za maombi MM-Dodoma ambao elimu zao ni kuanzia Astashahada,Stashahada,Shahada usaili wao bado.

Dodoma wamefanya usaili wale waliotuma barua kwa RPC ambao ni kidato cha 4 na 6.
Mkuu hapo tanga vijana wanaweza kuitwa tena lini n
Baada ya interview ya kuandika waliyofanya
 
Back
Top Bottom