Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Acha kuwadanganya madogo ukiwa na form six utabaki kuwa askari wa kawaida tu au labda upate koplo hata wenye diploma huishia kupata vyeo vya kawaida tu. Kule polisi ishu ni degree hivyo madogo mukipata ajira hakikisheni mnajindeleza wale wenye manyota msidhani ni form four au six wengi wao wana digrii,masters...n.k
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Kwani coplo sio cheo mbona mimi Sargent wa JWTZ nina V 3 nimeingia jeshini mwaka 2000 nikiwa na miaka 17 elimu yangu darasa la saba nina nyumba 4 mbili ziko dar nimepangisha zote ila moja ipo Makambako ndo Nyumbani kwangu ilipo familia yangu, moja Mbeya mjini hii ni hosteri nimepangisha wanafunzi pale chuo cha MUST nina gari 3 na moja yangu ya mke wangu na fuso tani 20 nina shamba kubwa la mpunga tena la mradi hekta 5 nina miaka 10 tena jeshini natarajia kustafu mwaka 2032 nitakuwa na miaka 48 nastaafu nikiwa bado jank tuu na nishasema 2032 nastaafu sitaki mpaka nifiki miaka 55 sina shida kwaiyo basi msitudharau sisi maskari tusio na vyeo tuna ishi vzr tuu na kama ujui awo makamanda wetu ma mojar na ma lutern kanal tuna wakopesha sana pesa mana wanafuliaga hatari mtu kama mm sifurii mana nimejimarisha kiuchumi siongei ivi kama sifa nimeongea hivi kukwambia ww usitudharau sisi maskari na kuwashadadia mafisa wenye vijogoo ukazini kwamba wao wanapesa awana kitu wale njaa kali mana wanapenda sana hanasa walevi na wauni awajui save pesa...acha kudharau askari tusio na vyeo.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
HARUFU TA WATU KUPIGWA

DOKTA ATAPOOZWA NA LAKI 2

MTAACHWA MATAA[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
MrBanks na Twyn naona wana Jambo lao humu ndanii.Wanataka Kuanza kuharibu thread Kwa kutaka kuwatapeli watu
Boss mimi sina njaa kama unavyofikiria hadi nianze kutapeli watu humu ndani, nimetoa taarifa kuhusu kupigiwa simu, mimi nipo kada ya afya, na wenzangu wengi wa kada ya afya wamepigiwa sio tu waliopo dar bali hata waliopo mikoani na maelezo yote ni sawa kureport Hosp ya polisi kilwa road pale kurasin barracks kwa ajili ya interview na vipimo.Sijui kuhusu kada zingine ndio maana nimeongelea kada ya afya.Unaweza ukaamini au ukachagua kutoamini.Binafsi mimi na wenzangu tutaenda hiyo jtatu hapo hosp ya polisi, kama ni utapeli/tumedanganywa tutajua siku hiyohiyo maana kama si kweli basi wataturudisha.Sijajua shida yako hasa ni nini ndugu hadi useme tunataka kutapeli watu.Sisi tumetoa tu taarifa, unaweza ukaipuuzia pia.
 
Point.[emoji1593]
 
Boss mimi sina njaa kama unavyofikiria hadi nianze kutapeli watu humu ndani, nimetoa taarifa kuhusu kupigiwa simu, mimi nipo kada ya afya, na wenzangu wengi wa kada ya afya wamepigiwa sio tu waliopo dar bali hata waliopo mikoani na maelezo yote ni sawa kureport Hosp ya polisi kilwa road pale kurasin barracks kwa ajili ya interview na vipimo.Sijui kuhusu kada zingine ndio maana nimeongelea kada ya afya.Unaweza ukaamini au ukachagua kutoamini.Binafsi mimi na wenzangu tutaenda hiyo jtatu hapo hosp ya polisi, kama ni utapeli/tumedanganywa tutajua siku hiyohiyo maana kama si kweli basi wataturudisha.Sijajua shida yako hasa ni nini ndugu hadi useme tunataka kutapeli watu.Sisi tumetoa tu taarifa, unaweza ukaipuuziapiapiakad d

Boss mimi sina njaa kama unavyofikiria hadi nianze kutapeli watu humu ndani, nimetoa taarifa kuhusu kupigiwa simu, mimi nipo kada ya afya, na wenzangu wengi wa kada ya afya wamepigiwa sio tu waliopo dar bali hata waliopo mikoani na maelezo yote ni sawa kureport Hosp ya polisi kilwa road pale kurasin barracks kwa ajili ya interview na vipimo.Sijui kuhusu kada zingine ndio maana nimeongelea kada ya afya.Unaweza ukaamini au ukachagua kutoamini.Binafsi mimi na wenzangu tutaenda hiyo jtatu hapo hosp ya polisi, kama ni utapeli/tumedanganywa tutajua siku hiyohiyo maana kama si kweli basi wataturudisha.Sijajua shida yako hasa ni nini ndugu hadi useme tunataka kutapeli watu.Sisi tumetoa tu taarifa, unaweza ukaipuuzia pia.
Nmekusoma ni kwel .... Afya washapigiwa simu ... Pia nna jamaa zangu wa afya wamepigiwa vile vile simu ..
 
Boss mimi sina njaa kama unavyofikiria hadi nianze kutapeli watu humu ndani, nimetoa taarifa kuhusu kupigiwa simu, mimi nipo kada ya afya, na wenzangu wengi wa kada ya afya wamepigiwa sio tu waliopo dar bali hata waliopo mikoani na maelezo yote ni sawa kureport Hosp ya polisi kilwa road pale kurasin barracks kwa ajili ya interview na vipimo.Sijui kuhusu kada zingine ndio maana nimeongelea kada ya afya.Unaweza ukaamini au ukachagua kutoamini.Binafsi mimi na wenzangu tutaenda hiyo jtatu hapo hosp ya polisi, kama ni utapeli/tumedanganywa tutajua siku hiyohiyo maana kama si kweli basi wataturudisha.Sijajua shida yako hasa ni nini ndugu hadi useme tunataka kutapeli watu.Sisi tumetoa tu taarifa, unaweza ukaipuuzia pia.
Kwani nani amesema una Njaa...Taarifa si uliambiwa ufatilie www.polisi.go.tz
Au weewe na usomi wako wote unashindwa kujiongezaaaa
 
ILA UKWEL NI KWAMBA WATU WASHAANZA KUPIGIWA SIMU WALIOTUMA MAKAO MAKUU . .. SASA HAIJULIKANI WAMEPIGIA WOTE AU NI KWA KADA MOJA TU YA AFYA
 
Kwani nani amesema una Njaa...Taarifa si uliambiwa ufatilie www.polisi.go.tz
Au weewe na usomi wako wote unashindwa kujiongezaaaa
Acha kukaza kichwa basi mwanetu.

Mbona mwamba kaeleza simple tu, wewe endelea tu kusubiri kuwekewa huko.

Jtatu kuna usaili kweli Kurasini.
 
Boss mimi sina njaa kama unavyofikiria hadi nianze kutapeli watu humu ndani, nimetoa taarifa kuhusu kupigiwa simu, mimi nipo kada ya afya, na wenzangu wengi wa kada ya afya wamepigiwa sio tu waliopo dar bali hata waliopo mikoani na maelezo yote ni sawa kureport Hosp ya polisi kilwa road pale kurasin barracks kwa ajili ya interview na vipimo.Sijui kuhusu kada zingine ndio maana nimeongelea kada ya afya.Unaweza ukaamini au ukachagua kutoamini.Binafsi mimi na wenzangu tutaenda hiyo jtatu hapo hosp ya polisi, kama ni utapeli/tumedanganywa tutajua siku hiyohiyo maana kama si kweli basi wataturudisha.Sijajua shida yako hasa ni nini ndugu hadi useme tunataka kutapeli watu.Sisi tumetoa tu taarifa, unaweza ukaipuuzia pia.
Inawezekana mkawa wengi sana, na hivyo yale mazingira ya pale hospitali yasitoshe, hivyo mkatakiwa mfanyie mule chuo cha polisi, kurasini.

Sifa wepesi tu, wahi mapema.

Tia unaa askari, kama kitu unakijua basi onesha kweli unakijua na ujibu vizuri.
 
Back
Top Bottom