Boss mimi sina njaa kama unavyofikiria hadi nianze kutapeli watu humu ndani, nimetoa taarifa kuhusu kupigiwa simu, mimi nipo kada ya afya, na wenzangu wengi wa kada ya afya wamepigiwa sio tu waliopo dar bali hata waliopo mikoani na maelezo yote ni sawa kureport Hosp ya polisi kilwa road pale kurasin barracks kwa ajili ya interview na vipimo.Sijui kuhusu kada zingine ndio maana nimeongelea kada ya afya.Unaweza ukaamini au ukachagua kutoamini.Binafsi mimi na wenzangu tutaenda hiyo jtatu hapo hosp ya polisi, kama ni utapeli/tumedanganywa tutajua siku hiyohiyo maana kama si kweli basi wataturudisha.Sijajua shida yako hasa ni nini ndugu hadi useme tunataka kutapeli watu.Sisi tumetoa tu taarifa, unaweza ukaipuuziapiapiakad d