Kwaio wanaita kila kada sehemu yao yakufanyia usaili? Au inakuajrAfu kwel kama masiara ivi watu j3 wanafanya usaili .. Sema bado mchakato unaendelea
Najua hamuamini amini ila no suurender wazee mpk watu wafike ccp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio wanaita kila kada sehemu yao yakufanyia usaili? Au inakuajrAfu kwel kama masiara ivi watu j3 wanafanya usaili .. Sema bado mchakato unaendelea
Najua hamuamini amini ila no suurender wazee mpk watu wafike ccp
Hahahahaha Haijafika Mwisho Mpaka iwe Mwisho hahahaha kama Mpira vile Dak 90 hahahhahaAfu kwel kama masiara ivi watu j3 wanafanya usaili .. Sema bado mchakato unaendelea
Najua hamuamini amini ila no suurender wazee mpk watu wafike ccp
saw mkuu..mie ntaapply hili tangazo la juzi..ila hawajasema mambo ya passport 3 na barua ya utambulisho.Ukiitwa Usaili Kigezo kimojawapo ni Kuwa na Viambata Vyote yaani kufuzu nakuingia chumba Cha kusailiwa.Kwa hiyo jitahidi Sana unapoenda kama Ukiitwa Usaili Usisahau Leaving zako zote Original.Na Pia namba Yako ya NIDA au Kitambulisho Usisisahu
Kwaio wanaita kila kada sehemu yao yakufanyia usaili? Au inakuajr
Ivi mkoa wa mbeya harakati za usaili ni vip wazee tujuzane wakuu wenzangu
Ndio kila kada inafanya usaili maahala pake huwez mfanyisha usaili mtu w computer kwenye wanyama ..over .. Sema cjajua vzr kama usaili j3 ni kwa watu wa afya tu au kada zote icho ndio kipengeleKwaio wanaita kila kada sehemu yao yakufanyia usaili? Au inakuajr
Mpka iishe kbsa maana usaili cna hakika sana wote watakua timamu na watpita wote ..Hahahahaha Haijafika Mwisho Mpaka iwe Mwisho hahahaha kama Mpira vile Dak 90 hahahhaha
Kwaio wanaita kila kada sehemu yao yakufanyia usaili? Au inakuajr
Ndio ilivo mkuuuKwaio wanaita kila kada sehemu yao yakufanyia usaili? Au inakuajr
Hahahaha hapo kweliii aseeeNdio kila kada inafanya usaili maahala pake huwez mfanyisha usaili mtu w computer kwenye wanyama ..over .. Sema cjajua vzr kama usaili j3 ni kwa watu wa afya tu au kada zote icho ndio kipengele

Utadumu kuruti [emoji23]Afu kwel kama masiara ivi watu j3 wanafanya usaili .. Sema bado mchakato unaendelea
Najua hamuamini amini ila no suurender wazee mpk watu wafike ccp
We jamaa tatizo unajifanya unajua kila kitu kumbe ni mweupe tu ,unawaita hadi watu matapeli na kujiona mjuaji sana ila ni mpuuzi mmoja tu hiviKama umekuja na Kuleta Lonja bwana choo Cha Kulipia sina shaka na hilo
Walisema uambatanishe hadi cha la 7?maana, wengi hawana hicho chetiMkuu hili tangazo la juzi..hawajasema.na barua ya utambulisho namie nishatuma tyr,kwahyo ntakua DISQUALIFIED?Na Kuhusu leaving,nimeattach ya form4 na form 6 tu..ila ya la7 sijaAttach,Vipi hapo pia?
Utadumu kuruti [emoji23]
Kuna madogo wao washaapa kuwa waitwe au wasiitwe , ccp wataingia tu [emoji23]
Ohoo [emoji23]Dah nimecheka sana...kwamba afe kipa afe beki,,CCP lazima [emoji16][emoji16][emoji16],,,,[emoji119][emoji119]
Walisema uambatanishe hadi cha la 7?maana, wengi hawana hicho cheti
Ohoo [emoji23]
Mtaani kugumu man kama huna mishe
Mimi nawaelewa tu wanangu
Hahahahahaah Mimi Lonja ninayotegemea ni ya Choo Cha Kulipia....Mdogo wangu yupo na Presha Sana Sasa lazima kaka yake nifatilie hatua Kwa hatuaaaaWe jamaa tatizo unajifanya unajua kila kitu kumbe ni mweupe tu ,unawaita hadi watu matapeli na kujiona mjuaji sana ila ni mpuuzi mmoja tu hivi