Ukichukuliwa na TPDF uwe MD,Engineer wa aina yoyote ni lazima upigishwe mkesha haina mjadala,Mwaka 2017 au 18 raia wote waliokuwa wanafanyakazi Wizara ya Ulinzi na JKT wote walipigishwa kozi japo hawakukaziwa sana kama fresh blood kutoka JKT.
Ukiambiwa kule ni chama la wana a.k.a kiumeni ni kiumeni kweli kweli mnapiga kozi miezi 3 mkimaliza wapo wataochukuliwa na komando kwa kupendekezwa ama wapo wataoomba waende komando huko unaenda jandoni sasa kutolewa uaskari kuingizwa ukomando mwaka mzima ukishindwa kutoboa unarudishwa kikosi cha kivita au JKT.