Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu hivi haya mambo ccp tutayakuta kweli tukibahatika kuitwa?kutolala 2 months[emoji3][emoji3]
Basi tu ila ilipaswa vijana wakishamaliza mafunzo ya JKT hasa wataoenda Mambo ya Ndani wala wasipigishwe kozi tena ya miezi 9 sijui haina maana.
 
Duh watukumbuke nasisi form six wenye ufaulu mkubwa polisi wamechukua form4 failure na six walopata 3 na 4 aise hahahaha
TPDF mbona limeshawachukua sana kidato cha 6 mara nyingi tu hata mwaka huu wapo waliomaliza Oljoro na Tanga kule wanatengenezwa waje kuwa na degree za kijeshi(military science) wengine wamepelekwa China na kwingineko kufanya kozi,kidato cha 6 wasilalamike kabisa kama TPDF tu limewabeba sana.
 
[emoji419][emoji419]
 
Ukichukuliwa na TPDF uwe MD,Engineer wa aina yoyote ni lazima upigishwe mkesha haina mjadala,Mwaka 2017 au 18 raia wote waliokuwa wanafanyakazi Wizara ya Ulinzi na JKT wote walipigishwa kozi japo hawakukaziwa sana kama fresh blood kutoka JKT.

Ukiambiwa kule ni chama la wana a.k.a kiumeni ni kiumeni kweli kweli mnapiga kozi miezi 3 mkimaliza wapo wataochukuliwa na komando kwa kupendekezwa ama wapo wataoomba waende komando huko unaenda jandoni sasa kutolewa uaskari kuingizwa ukomando mwaka mzima ukishindwa kutoboa unarudishwa kikosi cha kivita au JKT.
Mkuu ...mwenye elimu form six PCM div 3 o level two jkt mujibu miaka 24 nafasi atapata? Au mpka mbuyu
 
Ni sahihi mana kuna vitu vya kipolisi lzm wavisome mbali na depo km depo ndo mn wanapiga coz miez 9
PGO hawaijui sasa miezi 9 unajifunza nini?
Mwaka jana Magufuli aliwapa nafasi Uhamiaji waliotoka JKT walipiga kozi miezi 3 tu pale CU Kimbiji na wako safi sasa hivi makazini.Miezi 9 kwa PT ni upotevu tu wa Rasimali fedha,pigisha kozi nginja nginja ya miezi mitatu alafu kozi nyingine watakutana nazo mbeleni maana jeshini kozi haziishi.
 
Unajua TPDF lina kila kitu unachokiona uraiani na majeshi mengine mfano TPDF lina Military Police kozi wanaenda miezi 3 tu na wanafanya mambo yote ya kipolisi yote yaani,iwe traffic,ukamataji,uchunguzi nk. Sasa kwanini wao waweze kufanya kozi ya miezi 3 alafu PT miezi 9 wao wana upekee gani hasa?

Jeshi lina Idara ya Usalama/military intelligence(Intelligency Officer) kama wa TISS tu na kozi ni hiyo hiyo miezi 3 wengine wanashindwa nini?
 
PGO hawaijui sasa miezi 9 unajifunza nini?
Mwaka jana Magufuli aliwapa nafasi Uhamiaji waliotoka JKT walipiga kozi miezi 3 tu pale CU Kimbiji na wako safi sasa hivi makazini.Miezi 9 kwa PT ni upotevu tu wa Rasimali fedha,pigisha kozi nginja nginja ya miezi mitatu alafu kozi nyingine watakutana nazo mbeleni maana jeshini kozi haziishi.
Sasa m naomba kuuliza tpdf kuna kipind waliandkisha madaktari uraiani kwaio nao walipga miez mi3 au ilikuaje hapi
 
Sasa m naomba kuuliza tpdf kuna kipind waliandkisha madaktari uraiani kwaio nao walipga miez mi3 au ilikuaje hapi
Ndiyo walipiga miezi 3,usaili wao ulifanyikia pale Twalipo.Ukishasikia TPDF wewe jua ni mtifuano wa kozi tu,tena mnapigishwa na sisi wazee wa vyeti viwili tu cha kuzaliwa na cha la 7.
 
Ndiyo walipiga miezi 3,usaili wao ulifanyikia pale Twalipo.Ukishasikia TPDF wewe jua ni mtifuano wa kozi tu,tena mnapigishwa na sisi wazee wa vyeti viwili tu cha kuzaliwa na cha la 7.
Duh e bwana ee basi hyo n hatari m nilijua kwakuwa n tpdf basi lazima iwe miez ht sita
 
CCP mnalala saa 8 usiku mnaamka saa 10 kama sijakosea.

Kozi TPDF ikifunguliwa tu kitanda chako unakisahau rasmi na siyo utani mtatoboa mpaka asubuhi mnajiona hivi hivi mkivurugwa mkachoka sana mnaanza kuimba chenja ndiyo maana jeshini bila chenja mtu unatoroka.
Mabadiliko:Wanalala saa 4 kuamka saa 6 unusu usiku wakienda mabio,wakirudi hawalali mpaka muda wa 'master parade'. hilo ni zoezi endelevu kwa kipindi chote cha mafunzo(miezi 9 ya ukuruta).
 
Mabadiliko:Wanalala saa 4 kuamka saa 6 unusu usiku wakienda mabio,wakirudi hawalali mpaka muda wa 'master parade'. hilo ni zoezi endelevu kwa kipindi chote cha mafunzo(miezi 9 ya ukuruta).

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...du
 
Back
Top Bottom