Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nimesikia Hadi dk hii makao makuu hawajatoa taarifa kamili kuhusu idadi ya watu wachukuliwe wangapi kila mkoa . siye form six idadi yetu ni ndogo kulingana na tangazo lilivyotoka labda kma waliongeza idadi ila 173 ndiyo wagawane mikoa yote tz basi kila mkoa hawatozidi form six watano 5 mwenye taarifa atupe
 
Geita yameenda majina 20,singida 23 na mwanza ni 15 ( jumla form six na four)...mikoa mingine sijafahamu lakini hizo ndio minimum range zao....labda wakapunguzwe na wazee wa mikasi [emoji16][emoji16]
 
Yani form six na 4 majina 20 kwa pamoja yani idadi ya pamoja ndiyo iwe hiyo [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Geita yameenda majina 20,singida 23 na mwanza ni 15 ( jumla form six na four)...mikoa mingine sijafahamu lakini hizo ndio minimum range zao....labda wakapunguzwe na wazee wa mikasi [emoji16][emoji16]
Sjui kama mujibu wa sheria wamepata dah mungu tusaidie mujibu pia tusikilizwe
 
Geita yameenda majina 20,singida 23 na mwanza ni 15 ( jumla form six na four)...mikoa mingine sijafahamu lakini hizo ndio minimum range zao....labda wakapunguzwe na wazee wa mikasi [emoji16][emoji16]
Sijakuelewa ebu dadavua vizuri tena
 
Yaaani kwa walioomba mkoa wa Geita yameenda majina 20.....singida 23.....mwanza 15.
Wanachukuliwa idadi ndogo Sana . at least ingekuwa ni form six idadi hiyo lkn kumbe wote kwa pamoja
 
Tena usikute kati ya hao 20...form six watano na form four 15...
 
Kwa mwanza teari na washaitwa waliofaulu....na wamechukua idadi ya watu 15 pekee (form 4$6)
Duuh idadi ndogo Sana kwa maana hiyo zile ajira zaidi ya buku 3 nyingi ni hewa yani siasa tupu [emoji24]
 
Hakuna siasa sasa huyo alie kaa miez mitatu jkt anataka apate sawa na walio makambini miaka m3
 
Ajira za PT wanufaika wakubwa ni kidato cha 4,6 kiukweli namba ni ndogo na ni kwa kuwa wengi hawapatikani wengi wameendelea na elimu za juu.
Wengine hatuna pesa hata zakujiendeleza kusoma miaka inasonga tupo kitaa tunapiga vibarua tu
 
S wote JKT mkuu au hao wa miaka mitatu wanakua wanaendelea na mkesha
Hapana bali mujibu wa sheria hupewa mafunzo na kurudi nyumbani ila mujibu wa kujitolea hupata mafunzo miezi sita na pia wanaendelea kulitumikia Taifa mfano wale walio kwenye maujenzi
 
Lakin wote wamekesha,kwata limepigwa Renji wameenda,UP wameenda na kulima wamelima wakati mwingine unaweza kuta mujbu alienda Renji then ukakuta wa kujitolea hakwenda kwa hyo tusibaguane binafsi pia ningependa wakujitolea wapewe kipaumbele zaidi lakin mujibu nao wapewe nafasi
 
Back
Top Bottom