Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nani kasema miezi yote mnakesha? Soma vizuri.Haki za binadamu unaongelea kwenye kozi ya kijeshi mkuu? Haki na taratibu wakati wa mafunzo mtasomewa tu na mkuu wa mafunzo ila utekelezaji ni vitu viwili tofauti.
Ww ni mkufunzi jeshini???yani ujui hata kama sikuizi haki za binadamu zimeingia jeshini mnaona vijana mnavyodanganywa....
 
Nadhani wewe unataka kubishana tu,ugumu wa kozi upo kwa mpiga kozi mwenyewe,kama wewe ulipiga kozi na ukaona mteremko tu ni sawa ila mwingine atasema kozi ngumu aiseeh.

Alafu kozi ni kozi tu hata iwe ya saa moja ugumu hauwezi kukosekana,huko TMA au 92 unakosema wapo waliomaliza na wakasema mambo ni easy.
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa
 
By the way hakuna anaejua polisi watatoa hayo majina lini hata uyo mnae mtegemea ajui kitu cha zaidi atawadanganya danganya tuu bac lakini kusema anajua sio kweli...
 
Hana lonja gani huyo ni muongi tuu kama walivyo waongo wengine ww uzi huu umeanza mpaka umefika hapa umeona katoa lonja ipi hapa zaidi ya uongo uongo tuu ngoja ni wambie vijana nyie kuweni watulivu tuu majina yatatoka na mtapata maelekezo....
Depo ya miaka ya 90 na depo ya miaka ya 2000 hawaivi chungu kimoja lzm watofautiane kutokana na utofauti wa zama za kozi zao ../... Over
 
Choo Cha Kulipia,
S.L.P 0,
Dar es Salaam,Tanzania,
+255 000 000 000
4 Oktoba 2021.
Anuani ya Jeshi inakoenda.

Yah:Nafasi ya Ajira katika Jeshi la..

Tafadhali rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Mimi Choo Cha Kulipia,mwenye umri wa miaka 0,kijana wa Kitanzania,mwenye elimu ya darasa la 7B kutoka Shule ya Msingi JF na cheti cha kuhitimu mafunzo katika Jeshi la Kujenga Taifa Operesheni Vyama Vingi(Kujitolea) kati ya mwaka 1991-1993,ninayo furaha kuomba nafasi ya kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la..

Mimi ni kijana mzalendo kwa Taifa langu na mwenye ari na utayari kulitumikia Jeshi la.. popote pale itapoonekana inafaa muda na wakati wowote.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.

Wako katika Ujenzi na Ulinzi wa Taifa,

CC.Kulipia.
(Hii ni kwa tzt aliyeomba mfano wa barua ya maombi ya ajira hizo)
 
Nadhani wewe unataka kubishana tu,ugumu wa kozi upo kwa mpiga kozi mwenyewe,kama wewe ulipiga kozi na ukaona mteremko tu ni sawa ila mwingine atasema kozi ngumu aiseeh.

Alafu kozi ni kozi tu hata iwe ya saa moja ugumu hauwezi kukosekana,huko TMA au 92 unakosema wapo waliomaliza na wakasema mambo ni easy.
Nataka nikuambie kitu kimoja kwa sasa nipo 121 field engineer hapo hawa wana wa 92 ni jirani zangu nawajua vzr mno na ninapiga nao story sana ni wanangu inshort, mzee kozi ya ukomandoo sio poa hakuna mtu anae maliza komandoo akakwambia ni easy watu wananza na kupewa kombati pair mbili mbili mpya na boot mpya wakifika mwezi wa 5 tu kombati zote zimechakaa na boot azitamaniki kama nn unaongea nn ww....
 
Hana lonja gani huyo ni muongi tuu kama walivyo waongo wengine ww uzi huu umeanza mpaka umefika hapa umeona katoa lonja ipi hapa zaidi ya uongo uongo tuu ngoja ni wambie vijana nyie kuweni watulivu tuu majina yatatoka na mtapata maelekezo....
Hahahhaah Ila JF raha sana
 
By the way hakuna anaejua polisi watatoa hayo majina lini hata uyo mnae mtegemea ajui kitu cha zaidi atawadanganya danganya tuu bac lakini kusema anajua sio kweli...
Kwa hiyo Mkuu huna Imani na Choo Cha Kulipia kabisa
 
Ww ni mkufunzi jeshini???yani ujui hata kama sikuizi haki za binadamu zimeingia jeshini mnaona vijana mnavyodanganywa....
Nimepita JKT Operesheni Vyama Vingi mwaka 91 nimdanganye mtoto wangu ili nipate nini?

Mkuu mbona kama una ligi na mimi,husomi ukaelewa unakosoa tu.

Jeshini zipo sheria na haki katika mafunzo yoyote yale ya kijeshi na ni kweli wakati mnakaribia kufungua kozi mnasomewa haki zenu na sheria kwa ujumla sasa anayezisoma na anayezisimamia ni watu wawili tofautj mkufunzi kaishikilia platoon yenu wakati wa kozi na kawapa doso sana miksa fimbo na kupigwa nua hizo sheria zitakuwa zimewasaidia nini muda huo na umeshaumia tayari?

Nadhani wewe ni raia tu hivyo sina cha kukueleza zaidi.
 
Msamehe tu huyo jamaa anaonekana anapenda ligi
 
Nataka nikuambie kitu kimoja kwa sasa nipo 121 field engineer hapo hawa wana wa 92 ni jirani zangu nawajua vzr mno na ninapiga nao story sana ni wanangu inshort, mzee kozi ya ukomandoo sio poa hakuna mtu anae maliza komandoo akakwambia ni easy watu wananza na kupewa kombati pair mbili mbili mpya na boot mpya wakifika mwezi wa 5 tu kombati zote zimechakaa na boot azitamaniki kama nn unaongea nn ww....
Alafu wewe kama ni Askari basi bado una uraia sana,huwezi kudisclose id yako kiasi hiki mitandaoni.
 
Acha ubaguzi mkuu hizi ni rizk tu .mungu mkubwa atasaidia wote bila kujali lolote
Ubaguzi ghani ambao nimeuongea emu soma andiko langu vzr alafu uniambie ubaguzi uko wap lzm ukubali kwamba mtu kuna utofauti wa kijana wa mujibu na kujitolea miezi mi3 ya kozi ya coz changanya likizo ya kuomba mikopo plus kuapply chuo yote hayo within 3 months afu na mtu ambaye anafanya mafunzo ya 6 months afu mtu hyohyo anakaa zaidi ya miaka mi2 mingine kupata malezi ya kijeshi na kuzidi kujifunza mambo mbalimbali wanawezaje kuwa sawa kwny kwa mfano? Sawa vyombo vya ulinzi vinaendeshwa km taasisi na ziko katika kujitegemea kiuendeshwaji kwa maana kutochanga raia na askari ktk majukumu ya kijeshi hvyo ni lzm upate professions ktk kada mbalimbali km afya,uhabdisi n.k na ni ngumu sana kwa uzoefu wangu kupata kila kitu kutoka kwa vijana wanaoejitolea au waliojitolea JKT so wkt mwngne ni lazima urudi uraini kutafuta kile unachokitaka kulingana na mahitaji yako km taasisi so hata Jeshi wamekuwa wakifanya hv several tyms, angalia hata vigezo vilivyotangazwa na vyombo vya ulinzi mambo ya ndani kwa hyo incase unapata kilichobora nje ya JKT iwe mujibu au raia kbs ts ok hakuna tatizo hvyo fursa yyte basing in professinalism(experts) km chukua yyte ambaye ni best bila kujali UJakata lkn km vinginevyo chukua aliyejitolea JKT maanake kwa vyovyote vile ni bora kuliko mujibu au raia na ndivyo ilivyo km hutaki bac
 
Maelezo mengi lkn umeandika pumba huna ujualo zaidi ya roho mbaya na ubaguzi huu Uzi tunapeana lonja kuhusu mustakabali unavyoenda lkn wewe na roho yko mbaya unaleta mdahalo wa ubishani nenda vijiweni ukabishane humu siyo mahala pako .mkuu
 
Hahahahahahaha hahahahah nimekubali
 
By the way hakuna anaejua polisi watatoa hayo majina lini hata uyo mnae mtegemea ajui kitu cha zaidi atawadanganya danganya tuu bac lakini kusema anajua sio kweli...
Hakuna sehem aliposema anajua majina yatatoka lini, mbn kama una vita nae
 
Back
Top Bottom