Choo Cha Kulipia,
S.L.P 0,
Dar es Salaam,Tanzania,
+255 000 000 000
4 Oktoba 2021.
Anuani ya Jeshi inakoenda.
Yah:Nafasi ya Ajira katika Jeshi la..
Tafadhali rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Mimi Choo Cha Kulipia,mwenye umri wa miaka 0,kijana wa Kitanzania,mwenye elimu ya darasa la 7B kutoka Shule ya Msingi JF na cheti cha kuhitimu mafunzo katika Jeshi la Kujenga Taifa Operesheni Vyama Vingi(Kujitolea) kati ya mwaka 1991-1993,ninayo furaha kuomba nafasi ya kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la..
Mimi ni kijana mzalendo kwa Taifa langu na mwenye ari na utayari kulitumikia Jeshi la.. popote pale itapoonekana inafaa muda na wakati wowote.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Wako katika Ujenzi na Ulinzi wa Taifa,
CC.Kulipia.
(Hii ni kwa tzt aliyeomba mfano wa barua ya maombi ya ajira hizo)