Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wewe ni kilaza wa mwisho tena...kama hujui ni bora unyamaze tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....halafu akiambiwa ukweli anasema huna nidhamu duh,,,aya buana tumsamehe bureee tu hana analolijua.
 
Wakubwa Mimi nauliza kuhusu hospitali za magereza,je kila gereza lina hospitali..?? Au imekaaje hii..
Maana naona magereza upande wa afya wametaka watu wa diploma tuu ,,,sasa najiuliza vipi ukijataka kujiendeleza kwenye proffesion yako (afya) hawatosumbua kweli.?
Magereza mengi yanakuwa na dispensary zao kwa ajili ya kuhudumia maradhi madogomadogo ya wafungwa pamoja na familia za wafanyakaz wanaokaa eneo la magereza...case kubwa huwa wanarefer to the higher level...kuhusu kujiendeleza nadhan itategemea na uhitaji wao mkuu,
 
Magereza mengi yanakuwa na dispensary zao kwa ajili ya kuhudumia maradhi madogomadogo ya wafungwa pamoja na familia za wafanyakaz wanaokaa eneo la magereza...case kubwa huwa wanarefer to the higher level...kuhusu kujiendeleza nadhan itategemea na uhitaji wao mkuu,

Apo Sawa [emoji120]
 
Yani wewe pia ni kilaza kwa kushindwa kutambua hao unaowaita vilaza watapewa majukumu yapi
Nadhani umefeli interview ndo mana una bwabwaja

Kada za jeshi au Uwalimu hazihitaji uajiri waliofeli regardless of position....Kama unataka form iv au vi basi wawe walifaulu sio vilaza division 5.
 
Unaposema taaluma n kuanzia aliyesoma veta au ni kuanzia certificate na kuendlea msaada hapo boss??

IMG_7677.jpg

Taaluma wanazotaka uhamiaji ni hizo [emoji3516][emoji3516]
 
Ivi majina uhamiaji wanaweza wakatoa lini kwa usahili mkuu, Mwenye kujua atujuze tafadhali

Mmh hapo ni ngumu kujua sababu hata deadline ya kufanya application bado haijafika,,,mwisho tar 13 October
 
Kuna mtu namuandikia barua sasa sijajua jinsi ya kuandika anuani ya muandikiwa kwa mwenye uelewa anisaidie yy yupo dar wilaya ya temeke anataka kutuma magereza sasa pale wamesema anuani iende kwa mkuu wa gereza sehemu husika je kwa temeke gereza lipo?? Na anuani naandika kwa s.l.p gani??? Msaada jaman kama unaweza niandikie apa

NB; BARUA SIO YANGU NI YA MDOGO WANGU MIMI SINA VIGEZO VYA APO. ...
 
Back
Top Bottom