Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jamani kwenye Taarifa sahihi ya Ukurasa wa ITV Tanzania na Kauli ya Waziri Simbachawene Alete Humu Basi
 
Simbachawene kazungumza lini..? Na kuhusu nini
Alikuw kwenye kipindi cha Dk 45 cha itv akihojiwa mambo mbalimbali yahusuyo wizara yake na mojawapo ni kwanini majeshi yaliyo chini ya wizara yake yanaajiri watu wenye ufaulu mdogo hivyo alikuw anafafanua hilo...kaangalie video kwenye page ya itv tanzania
 
Choo Cha Kulipia una Maoni Gani Kauli ya Waziri km ikiwa ni ya Kweli?
Waziri asinukuliwe vibaya.. nimeangalia kipingi chote cha dk 45 cha ITV..hakusema hivyo
Alichosema ni kwamba form four wana nafasi zao kwa kuwa ndo wengi wahitajikao jeshini kuliko wasomi .
Hata ukiangalia mfumo wa jeshi maofisa ni wachache kuliko ma constable (makuruta)
 
[emoji116][emoji116]
Screenshot_20211012-064118~2.jpg
 
Waziri amechemka sana kujibu hivyo.Siyo kila swali ni la kujibu mengine unakaa kimya,zaidi atajiaibisha na atasababisha jamii kuwanyanyapaa Askari wetu hivyo chuki baina ya Raia na Askari ikazidi kuongezeka san

Waziri amechemka sana kujibu hivyo.Siyo kila swali ni la kujibu mengine unakaa kimya,zaidi atajiaibisha na atasababisha jamii kuwanyanyapaa Askari wetu hivyo chuki baina ya Raia na Askari ikazidi kuongezeka sana.
Mkuu tupe lonja majina lin yanatoka makao makuu
 
Waziri amechemka sana kujibu hivyo.Siyo kila swali ni la kujibu mengine unakaa kimya,zaidi atajiaibisha na atasababisha jamii kuwanyanyapaa Askari wetu hivyo chuki baina ya Raia na Askari ikazidi kuongezeka sana.
Waziri yupo sahihi na huo ndio ukweli halisi alioungea...
 
Waziri amechemka sana kujibu hivyo.Siyo kila swali ni la kujibu mengine unakaa kimya,zaidi atajiaibisha na atasababisha jamii kuwanyanyapaa Askari wetu hivyo chuki baina ya Raia na Askari ikazidi kuongezeka sana.
M binafsi naona waziri yuko sahihi kabisa sio kukatishana tamaa wala nn n katika kuambiana ukwel ukiajili sisi wenye taaluma au ufaulu mzuri baada ya muda utakuta tumeshaweka nyota begani sina ujuzi na mambo ya polisi lakini askari mwenye nyota sizani kama anaweza pangiwa lindo but ukiajiri wenye ufaulu wa chini inamaana huyo mtu hadi aifikie nyota sio Leo kwa hyo ataendelea kupangiwa majukumu ya lindo na kazi zingine ambazo mwenye nyota hatopangiwa
 
Yupo sawa kiuhalisia labda sijui watu tunatofautiana mitazamo yetu
 
Waziri amechemka sana kujibu hivyo.Siyo kila swali ni la kujibu mengine unakaa kimya,zaidi atajiaibisha na atasababisha jamii kuwanyanyapaa Askari wetu hivyo chuki baina ya Raia na Askari ikazidi kuongezeka sana.
Alichoongea ni kwl ila tu kakosea hakupaswa kuweka publicity hvy ilipaswa iwe siri yao wenyw
 
M binafsi naona waziri yuko sahihi kabisa sio kukatishana tamaa wala nn n katika kuambiana ukwel ukiajili sisi wenye taaluma au ufaulu mzuri baada ya muda utakuta tumeshaweka nyota begani sina ujuzi na mambo ya polisi lakini askari mwenye nyota sizani kama anaweza pangiwa lindo but ukiajiri wenye ufaulu wa chini inamaana huyo mtu hadi aifikie nyota sio Leo kwa hyo ataendelea kupangiwa majukumu ya lindo na kazi zingine ambazo mwenye nyota hatopangiwa
Kwa taratibu za kipolisi hawezi kufika nyota labda apewe nyota kama zawadi kwa utumishi wake ila sio kwenda kuisomea course,..cheo cha juu sana akifika basi ni RSM
 
Kwa hyo umeona faida hyo ata gharama za mshahara na posho serikali inasave pesa pia lakini sisi wenye degree unaweza anzia cheo cha chini lakin mshahara unakuta uko juu and baada ya muda kidogo unaweza kwenda kozi kuitafta nyota so waziri yupo sahihi sana n vile2 kama nchi hatupendi ukweli na uwazi
 
Back
Top Bottom