Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 550
Haitofautiani sana na JKT nadhani 70k PT.
Hivi Kuishi kwenye zile nyumba za kota za askari ni lazima..???hususan MT...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitofautiani sana na JKT nadhani 70k PT.
Mbona kuruta wa JW posho ni nusu ya mshahara wako inakuwaje CCP upewe elfu 70 kama ni hivyo basi aiko fair kwa kweli...70k na unaambiwa miezi mingine hutaiona io posho.
Rts nu kozi nyingine ile mkuu.Mbona kuruta wa JW posho ni nusu ya mshahara wako inakuwaje CCP upewe elfu 70 kama ni hivyo basi aiko fair kwa kweli...
Mambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.Mbona kuruta wa JW posho ni nusu ya mshahara wako inakuwaje CCP upewe elfu 70 kama ni hivyo basi aiko fair kwa kweli...
Nafikili ata salary scale ya private wa JWTZ na constable wa PT,UT,MT ziko tofaut kuna haja ya serikali kuliangalia hili aisee kama salary scale ipo tofauti wajuzi tuelewesheniMbona kuruta wa JW posho ni nusu ya mshahara wako inakuwaje CCP upewe elfu 70 kama ni hivyo basi aiko fair kwa kweli...
Wanatofautiana lakiNafikili ata salary scale ya private wa JWTZ na constable wa PT,UT,MT ziko tofaut kuna haja ya serikali kuliangalia hili aisee kama salary scale ipo tofauti wajuzi tuelewesheni
Private anaanzia ngapi na constable ngapi mkuuWanatofautiana laki
Nchi gani wanakula? Labda wale wa juu, hawa wa chini kawaida sana kudandia makarandinga yaoMambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
Daah pole sana mkuu .[emoji120]Baba yangu alikuaga na cheo kimoja wapo cha utawala ulichotaja hapo,cheo cha kijeshi SSP,sema sir God alimpenda zaidi.
Napambana na hali yangu.
Daah kama mimi hata sielewi kama majibu washatoa. magereza nao ndio nasikia wamepigiwa watu simuHawa uhamiaji sina iman nao kabisa yahn
Hii hali mkuu tunapitia wengi , laiti kama wazee wetu wangekuwa hai asee basi wangetusaidia kwa namna moja au nyingine.Ila ni kazi ya Mungu haina makosa.Daah pole sana mkuu .[emoji120]
Mshua angekuwepo wala usingesubiri lonja za Mr banks na choo cha kulipia [emoji3]we unateleza tuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uzi wa fire uko wapi tuwekee link apa mkuuNimefurahi kukuona hapa,kwenye fire kule umetema madini,nikatamani uendelee sema walikuboa mkuu.
Sio lazima
Ni kweli kabisa kiongoziHii hali mkuu tunapitia wengi , laiti kama wazee wetu wangekuwa hai asee basi wangetusaidia kwa namna moja au nyingine.Ila ni kazi ya Mungu haina makosa.
LiniiiKaeni tayar PT mzigo unatemwa mda sio mrefu
Hakuna kitu kama hicho bossNinachojua mm ni kuwa ukienda CCP unalipwa nusu ya mshahara wako kwa sababu inakuw ni kama wameshakuajiri ila upo kwenye mafunzo.
We jamaa tafuta hata chalii yako poti akupe lonja huko..Hapana, JKT wanakuw hawapo kwenye mfumo wa ajira , ila mafunzo ya awali na baaada ya hpo sio kwamba ni uhakika kuajiriwa so huwa wanapewa posho tu ya 70k.Ukichaguliwa kwenda CCP /JWTZ kwa mafunzo ya awali ya polisi au private, unakuw unaingizwa tayari kwenye mfumo wa ajira ila unalipwa nusu ya mshahara.Hii inaapply kote kwa polisi na JWTZ pia
Hamna ubaya mtu kutaka kujua maslahi yake boss!Wazee acheni habari za Maposho sijui nini.Kazi za Vyombo vya Ulinzi na usalama ni za Kujitoa.Uzalendo kwanza.Acheni hizo.Tupeni Lonja Nyingine tu za Hizo Ajira
HahahaahahahahHamna ubaya mtu kutaka kujua maslahi yake boss!