Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mbona kuruta wa JW posho ni nusu ya mshahara wako inakuwaje CCP upewe elfu 70 kama ni hivyo basi aiko fair kwa kweli...
Mambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
 
Mbona kuruta wa JW posho ni nusu ya mshahara wako inakuwaje CCP upewe elfu 70 kama ni hivyo basi aiko fair kwa kweli...
Nafikili ata salary scale ya private wa JWTZ na constable wa PT,UT,MT ziko tofaut kuna haja ya serikali kuliangalia hili aisee kama salary scale ipo tofauti wajuzi tuelewesheni
 
Mambo mengi hayapo sawa kati wa jwtz na PT ila kikubwa uzalendo tu,mukianza kulinganisha hapa hakika kazi ya polisi mtaiona kama takataka tu.Jw wanakula nchi nyie ooh.
Nchi gani wanakula? Labda wale wa juu, hawa wa chini kawaida sana kudandia makarandinga yao
 
Baba yangu alikuaga na cheo kimoja wapo cha utawala ulichotaja hapo,cheo cha kijeshi SSP,sema sir God alimpenda zaidi.
Napambana na hali yangu.
Daah pole sana mkuu .[emoji120]

Mshua angekuwepo wala usingesubiri lonja za Mr banks na choo cha kulipia [emoji3]we unateleza tuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Daah pole sana mkuu .[emoji120]

Mshua angekuwepo wala usingesubiri lonja za Mr banks na choo cha kulipia [emoji3]we unateleza tuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii hali mkuu tunapitia wengi , laiti kama wazee wetu wangekuwa hai asee basi wangetusaidia kwa namna moja au nyingine.Ila ni kazi ya Mungu haina makosa.
 
Hapana, JKT wanakuw hawapo kwenye mfumo wa ajira , ila mafunzo ya awali na baaada ya hpo sio kwamba ni uhakika kuajiriwa so huwa wanapewa posho tu ya 70k.Ukichaguliwa kwenda CCP /JWTZ kwa mafunzo ya awali ya polisi au private, unakuw unaingizwa tayari kwenye mfumo wa ajira ila unalipwa nusu ya mshahara.Hii inaapply kote kwa polisi na JWTZ pia
We jamaa tafuta hata chalii yako poti akupe lonja huko..

Nusu mshahara ukiwa course ni Tpdf tu
 
Wazee acheni habari za Maposho sijui nini.Kazi za Vyombo vya Ulinzi na usalama ni za Kujitoa.Uzalendo kwanza.Acheni hizo.Tupeni Lonja Nyingine tu za Hizo Ajira
Hamna ubaya mtu kutaka kujua maslahi yake boss!
 
Back
Top Bottom