Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,180
- 2,083
Tanzania Railways Corporation (TRC) 2021 yatangaza ajira mpya 353
Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza Ilani ya CCM 2020|25 iliyoahidi kutoa ajira 8M ifikapo 2025 dalili zinaonesha ajira mpya zitakuwa zaidi ya 8M katika kipindi hicho, Rais Samia Suluhu kupitia Tanzania Railways Corporation (TRC) 2021 wametangaza ajira mpya 353, Niwasihi Vijana...