Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,180
- 2,083
Wachukuliwe mara ngapi watu washasepa kozi mda tuKwahiyo mkuu wanaweza kuchukua kimy kmy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachukuliwe mara ngapi watu washasepa kozi mda tuKwahiyo mkuu wanaweza kuchukua kimy kmy
Wale walikua waliojitolea kipind kile Cha magufuli Kuna lonja nazipata kuwa January Kuna intake mpyaWachukuliwe mara ngapi watu washasepa kozi mda tu
Unaongea vitu gani wewe mbona hueleweki?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaongea vitu gani wewe mbona hueleweki?
Lini?Watu wanaenda msata uko nyie habari mnayo??
Watu wanaenda kwa meseji bro unazani ni kwenda kwenda tu[emoji41]Watu wanaenda msata uko nyie habari mnayo??
Tafuteni kazi za kufanya, kila mkilala mnawaza kulinda tu??Wale walikua waliojitolea kipind kile Cha magufuli Kuna lonja nazipata kuwa January Kuna intake mpya
Mwezi huu kuna rafkng kaenda sema alikuwa na mbangaLini?
NdohvyWatu wanaenda kwa meseji bro unazani ni kwenda kwenda tu[emoji41]
Meseji za jw ?Meseji nyingine zinasomwa j3
Mhh.. JW sizan km wanachukua maraia wa mtaaniDah mzee jwtz wametuacha kwenye mataa hakueleweki kabisaa yan mzee
Karagabao na mawazo yako Ayo watu wanaenda sana mchawi gamba la jakata(jkt?)Mhh.. JW sizan km wanachukua maraia wa mtaani
Bado mpo hamjakata tamaaKaragabao na mawazo yako Ayo watu wanaenda sana mchawi gamba la jakata(jkt?)
Daah sasa wenye form six tu na jkt pasipo na fani inakuaje ?