Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Waliobahatika kwenda kozi ya upolisi waende kulibadilisha hili jeshi sahivi limekuwa jeshi la mauaji ya raia mtaani nimeumia Sana na kitendo cha wale Askari waliompora uhai mfanyabiashara wa madini na kumdhulumu milion 70 zake [emoji21][emoji26]
 
Kuna umuhimu wa mfumo wa jeshi la polisi kuvunjwa na kuundwa mfumo mpya kesi za ujambazi unaofanywa na askari zinaongezeka kila kukicha .huko CCP mitaala ibadilishwe mfumo wa kuajiri Askari ibadilishwe uendane kimaadili zaid na utu ....
 
Huna lonja mkuu
Lonja ni kesho uhamiaji wanamwaga mboga, ila sifa mbanga, maana sifa walizo toa hazikuwa na utata mwingi kama nafasi zile 350 za awali walikaza kidogo, ila hizi nadhani imewasukuma watu wengi kuomba, hata age , imerange good,
 
Duuh kama una mbanga umepita ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unajua noma inaanzia kwenye kutuma barua, kila mkoa vijana wametuma kwa address moja tu ya makao makuu uhamiaji, tofauti na awali hii inamaana ilikuwa unatuma within your own regions, sasa mzigo umefika makao alafu watu waanze kuangaika kuchaka mabarua elfu 50000 ya maombi, iyo kitu haipo aisee, zaidi itakuwa bure kitendo
 
Daah ila kweli aisee bora hata wangefanya ki wilaya .. kuchambua barua za waliotuma sio mchezo kwanzia form 4 hadi shahada hapo kuna barua zaidi hata ya elfu kumi

Nitafute jembe nikalime tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
Mm Kuna ndugu yangu anashindwa kupata kazi sababu ya hizo sifa form four Ana 3 advance Ana 2
 
Back
Top Bottom