hyassin92
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 584
- 634
Soon as possible son, za ndani mnoWanetu wa uhamiaji vp jmn hamna mpya yoyote??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon as possible son, za ndani mnoWanetu wa uhamiaji vp jmn hamna mpya yoyote??
Jau tu tunasubiria chchote tuWanetu wa uhamiaji vp jmn hamna mpya yoyote??
Mwaka huu lazima tuondoe mkuu.. inshallahSerikali ina ajiri majambazi siye wazalendo tunaojua utu tunaachwa
Huna lonja mkuu
Lonja ni kesho uhamiaji wanamwaga mboga, ila sifa mbanga, maana sifa walizo toa hazikuwa na utata mwingi kama nafasi zile 350 za awali walikaza kidogo, ila hizi nadhani imewasukuma watu wengi kuomba, hata age , imerange good,Huna lonja mkuu
Duuh kama una mbanga umepita ?Lonja ni kesho uhamiaji wanamwaga mboga, ila sifa mbanga, maana sifa walizo toa hazikuwa na utata mwingi kama nafasi zile 350 za awali walikaza kidogo, ila hizi nadhani imewasukuma watu wengi kuomba, hata age , imerange good,
Unajua noma inaanzia kwenye kutuma barua, kila mkoa vijana wametuma kwa address moja tu ya makao makuu uhamiaji, tofauti na awali hii inamaana ilikuwa unatuma within your own regions, sasa mzigo umefika makao alafu watu waanze kuangaika kuchaka mabarua elfu 50000 ya maombi, iyo kitu haipo aisee, zaidi itakuwa bure kitendo
Daah ila kweli aisee bora hata wangefanya ki wilaya .. kuchambua barua za waliotuma sio mchezo kwanzia form 4 hadi shahada hapo kuna barua zaidi hata ya elfu kumiUnajua noma inaanzia kwenye kutuma barua, kila mkoa vijana wametuma kwa address moja tu ya makao makuu uhamiaji, tofauti na awali hii inamaana ilikuwa unatuma within your own regions, sasa mzigo umefika makao alafu watu waanze kuangaika kuchaka mabarua elfu 50000 ya maombi, iyo kitu haipo aisee, zaidi itakuwa bure kitendo
Kuwa na moyo wa imani mzeeeDaah ila kweli aisee bora hata wangefanya ki wilaya .. kuchambua barua za waliotuma sio mchezo kwanzia form 4 hadi shahada hapo kuna barua zaidi hata ya elfu kumi
Nitafute jembe nikalime tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hyo leo mambo hadharani mkuuKuwa na moyo wa imani mzeee
Uzi ushatelekezwa huu daahWazee ndo kimya kabisa
Tanapa washafanya usaili piaDaahh co poaa.. Labda tusubri TANAPA.... nahc ndo jesh lililobakia
Mm Kuna ndugu yangu anashindwa kupata kazi sababu ya hizo sifa form four Ana 3 advance Ana 2Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje