Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Basi ndo hivo cha msingi uvumilivu na kama Mungu kakupangia kinamna yoyote unachomoka tu maana kuna watu majina yao wamesomwa sehemu 2 2 unaeza shangaa kuna baadhi kutoreport then kuna inshu ya vipimo baadhi unakuta unfitt so just b patient
Nimekupata mkuu
 
Makamanda mliopo depo magereza sasa ivi hii kauli ya rais ya leo inawaathiri?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Hii kauli inaathiri pande mbili , pande ya kwanza ni kwa vijana wanaosubria fursa ya kuajiliwa ,zitachelewa sana kwao kwa waliopo jkx,na watakaokuja 2. Upande wa pili wa waathirika ni hao waajiriwa wengi watachelewa kupanda vyeo toka cheo fulani kwenda kingine ,na pia kiutendaji kwa waliozoea kwa cheo fulani lazima wapumzike kidogo na majukumu .... aisee yaani jeshi la magereza sijui wanamkosi gaani aisee
 
Hii sio kwa jeshi la Magereza tu ni kwa majeshi yote…ajira mpya hapa labda baada ya miaka 2 Au 3
 
Back
Top Bottom