Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Nakumbuka kwenye usaili magereza walitukata wenye div 1 Hadi 3Mm Kuna ndugu yangu anashindwa kupata kazi sababu ya hizo sifa form four Ana 3 advance Ana 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka kwenye usaili magereza walitukata wenye div 1 Hadi 3Mm Kuna ndugu yangu anashindwa kupata kazi sababu ya hizo sifa form four Ana 3 advance Ana 2
Matumaini yetu yote yashapotea kaka.... Uhamiaji napo wametutemaa..... Hapa tukomae kitaa tuuUzi umejifia[emoji2]
Matumaini yetu yote yashapotea kaka.... Uhamiaji napo wametutemaa..... Hapa tukomae kitaa tuu
Usikate tamaa unaweza kuitwa kama reserve yote yanawezekana so kikubwa kuwa na imani na Mungu
Yaahh.. Hyo magereza niliskiaga kakaMagereza yenyewe kuna watu waliitwa hata hawakutegemea
Yaahh.. Hyo magereza niliskiaga kaka
Nimekupata mkuuBasi ndo hivo cha msingi uvumilivu na kama Mungu kakupangia kinamna yoyote unachomoka tu maana kuna watu majina yao wamesomwa sehemu 2 2 unaeza shangaa kuna baadhi kutoreport then kuna inshu ya vipimo baadhi unakuta unfitt so just b patient
Kwa uhamiaji ngumu sanaMagereza yenyewe kuna watu waliitwa hata hawakutegemea
Hii kauli inaathiri pande mbili , pande ya kwanza ni kwa vijana wanaosubria fursa ya kuajiliwa ,zitachelewa sana kwao kwa waliopo jkx,na watakaokuja 2. Upande wa pili wa waathirika ni hao waajiriwa wengi watachelewa kupanda vyeo toka cheo fulani kwenda kingine ,na pia kiutendaji kwa waliozoea kwa cheo fulani lazima wapumzike kidogo na majukumu .... aisee yaani jeshi la magereza sijui wanamkosi gaani aiseeMakamanda mliopo depo magereza sasa ivi hii kauli ya rais ya leo inawaathiri?
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Hii sio kwa jeshi la Magereza tu ni kwa majeshi yote…ajira mpya hapa labda baada ya miaka 2 Au 3Hii kauli inaathiri pande mbili , pande ya kwanza ni kwa vijana wanaosubria fursa ya kuajiliwa ,zitachelewa sana kwao kwa waliopo jkx,na watakaokuja 2. Upande wa pili wa waathirika ni hao waajiriwa wengi watachelewa kupanda vyeo toka cheo fulani kwenda kingine ,na pia kiutendaji kwa waliozoea kwa cheo fulani lazima wapumzike kidogo na majukumu .... aisee yaani jeshi la magereza sijui wanamkosi gaani aisee
Na uzalishaji mali atafanya nani ? [emoji1787] Lazima wawepo ila wajue tu wanaenda kubetiKwahyo mwaka huu hakutokuwa na mafunzo ya jkt
TPDF na Tiss walishachukua tayariNikipata mtu wa kunisaidia kuingia TPDF au TISS, nitamshukuru sanaa... Ninacho jivunia nina zile traits kabisa za uaskari,
Huu ndio ukweli mchunguHii sio kwa jeshi la Magereza tu ni kwa majeshi yote…ajira mpya hapa labda baada ya miaka 2 Au 3
TPDF bado wanaingia kule mafinga.. Ukiwa na mtu hakishindikani kitu mzee,TPDF na Tiss walishachukua tayari
Nikipata mtu wa kunisaidia kuingia TPDF au TISS, nitamshukuru sanaa... Ninacho jivunia nina zile traits kabisa za uaskari,
Wameambiwa wale waliorudishwa waripoti Mafinga mpka sasa hakuna taarifa ya wao kupelekwa koziTPDF bado wanaingia kule mafinga.. Ukiwa na mtu hakishindikani kitu mzee,