Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Asante kwa elimu fupiIntel ni kifupi tu cha intelijensia- mambo ya upelelezi na hawa Mara nyingi huwakuti wakivaa gwanda...wao wanaishi kikawaida tu kukusanya taarifa zinazohusiana na mambo ya kihalifu. Huwa wana posho ya mavazi hawa coz kazi zao hawavai gwanda na hata ile low cut ya polisi na kunyoa ndevu wanaweza wasinyoe ili tu wasitambulike kirahisi.
FB ni forensic bureau ambao inahusiana na uchunguzi wa makosa ya jinai kwa njia za kisayansi. Huku utakuta wataalamu mbalimbali kama wa finger print, chemicals, sumu, wataalamu wa uchunguzi wa mabaki ya binadamu, wataalamu wa kugundua forgery na wengineo.
Idara ziko nyingi na zingine unapelekwa kutokana na taaluma