mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
umebadili tena msimamo mkuuKutoboa Bila Connection Inawezekana Kabisa Sio wote wanakwenda kwa connection asilimia kubwa wanaenda tu connection ni wachache.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umebadili tena msimamo mkuuKutoboa Bila Connection Inawezekana Kabisa Sio wote wanakwenda kwa connection asilimia kubwa wanaenda tu connection ni wachache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my bad matron..!!! Mara chache kuwakuta wasichana pande hizi..!!Kheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro [emoji38]
Nimekaribia [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my bad matron..!!! Mara chache kuwakuta wasichana pande hizi..!!
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Kheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro [emoji38]
Kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my bad matron..!!! Mara chache kuwakuta wasichana pande hizi..!!
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zimamoto napo tayari???PCCB zinakuaga chache , alafu watu kibao
Upo sahihi mkuu umakini unahitajika mkubwa sana kipindi hikiUsikubal kudanaanywa Sijui connection humu ndani utalizwa
Kma huna gamba la Jkt usijisumbueKwaiyo km ukupitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria imeisha iyo
Kuna mwanangu pia amemaliza intake iliyopita ndio anayeniibia lonja.Mimi dogo katoka ccp intake iliyopita so lonja za kule kibao ninazo
Nasikia kufoleni saa6 usiku,Mara kuhesabiwa sijui nakufanyaje saa 8 hii hapa.Na CCP mtakimbia Mabio sio poa [emoji23][emoji23][emoji23]
Au wewe ni mwanangu J?,Mbona hizi lonja ndio ananipaga mwanangu J.Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanza mabio
Kwenye pdf watu wenye degree walikua 97 tu.Uliomba kwa proffession? Au form4/6?
God is good. 2023 itakuw nafasi yako.
Baba jifue vya kutosha[emoji28].Mabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yan
Hahahahaha 😹 itakuwa ndiyeAu wewe ni mwanangu J?,Mbona hizi lonja ndio ananipaga mwanangu J.
Sent using Jamii Forums mobile app