Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wazee haya mambo ya ridhki tu Kama imeandikwa unatoboa bila connection


Hivi medical form wametoa hawa jamaa? Mana hiki kipengele nmeshindwa kukipatia jibu sahihi mana ukienda hosptal wanahitaji uwe nayo medical form kutoka taasisi husika ndo wakujazie
 
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanza mabio
Au wewe ni mwanangu J?,Mbona hizi lonja ndio ananipaga mwanangu J.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom