Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
Sikuhizi elimu ni bure, so moja ya kigezo cha elimu kwa mtanzania ni angalau awe na cheti cha form 4.Na sisi wa darasa la saba nafsi hatupati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuhizi elimu ni bure, so moja ya kigezo cha elimu kwa mtanzania ni angalau awe na cheti cha form 4.Na sisi wa darasa la saba nafsi hatupati
***** hiki cheti kimeanza kuwa Lulu.kuna mzee alimtext sombobody x kuwa kuna nafasi mbili za polisi kama anavijana ampe majina(mkoani) yule mtu x akajibu ninao wawili ila mmoja hajapita JKT
yule mzee akajibu mlete huyo mmoja. huyu ambaye hana cheti cha JKT hata nikimpachika wakubwa watamchomoa na kumrejesha nyumbani.
Lonja ya PT kambi za mikoani nawapa hii wakuu
mkoani inaonekana kuna rafu sana . natamani ningepita huko bt kma ipo ipo mkuu***** hiki cheti kimeanza kuwa Lulu.
Ila hizi interview za mkoani ukiwa na mbanga huwez kuwa na pressure, maana zipo easy sana.
Yah na kila mkoa unaidadi yake. Sijajua vigezo vyao tu sasa mpka mkoa upewe nafasi nyingi.mkoani inaonekana kuna rafu sana . natamani ningepita huko bt kma ipo ipo mkuu
pamoja luteniYah na kila mkoa unaidadi yake. Sijajua vigezo vyao tu sasa mpka mkoa upewe nafasi nyingi.
Kuna devision zero mkuu hapo maan akasema kwa la Saba vpSikuhizi elimu ni bure, so moja ya kigezo cha elimu kwa mtanzania ni angalau awe na cheti cha form 4.
Division zero hapewi cheti so level yake inasimama kama ni standard 7 hana cheti bado hata hapa Jkt hatokizi vigezo hana cheti cha form 4Kuna devision zero mkuu hapo maan akasema kwa la Saba vp
Hana connection kma mimi tu
Refer tangazo la jkt la Saba huwa Wana wekwa pale mkuuDivision zero hapewi cheti so level yake inasimama kama ni standard 7 hana cheti bado hata hapa Jkt hatokizi vigezo hana cheti cha form 4
Baba kantuma,waje nichukua na Mimi tukuna mzee alimtext sombobody x kuwa kuna nafasi mbili za polisi kama anavijana ampe majina(mkoani) yule mtu x akajibu ninao wawili ila mmoja hajapita JKT
yule mzee akajibu mlete huyo mmoja. huyu ambaye hana cheti cha JKT hata nikimpachika wakubwa watamchomoa na kumrejesha nyumbani.
Lonja ya PT kambi za mikoani nawapa hii wakuu
Nimezungumzia ajira za polisi kiongozi, soma vzuri requirements zao. Standard seven ata3nda jkt sawa ila kwenye requirements za jeshi polisi au uhamiaji au zimamoto ataweka cheti gani cha form 4 au leaving certificateRefer tangazo la jkt la Saba huwa Wana wekwa pale mkuu
vp mwnangu xmonster ,tupe lonja maana najua safari hujaja kizembe ,mbuyu wako unasemaje khsu za ndaani kabisaBaba kantuma,waje nichukua na Mimi tu
Mbuyuu hapo maadam Cha la Saba na jkt Kiko kwa Tpdf kitongaNimezungumzia ajira za polisi kiongozi, soma vzuri requirements zao. Standard seven ata3nda jkt sawa ila kwenye requirements za jeshi polisi au uhamiaji au zimamoto ataweka cheti gani cha form 4 au leaving certificate
Labda itokee kama MajaliwaNimezungumzia ajira za polisi kiongozi, soma vzuri requirements zao. Standard seven ata3nda jkt sawa ila kwenye requirements za jeshi polisi au uhamiaji au zimamoto ataweka cheti gani cha form 4 au leaving certificate
Mmbanga wako akiwa na njaa utajuta sana [emoji16][emoji1787]Ni mtu wa ikulu kweli ila ana njaa Saana