Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kuna mzee alimtext sombobody x kuwa kuna nafasi mbili za polisi kama anavijana ampe majina(mkoani) yule mtu x akajibu ninao wawili ila mmoja hajapita JKT
yule mzee akajibu mlete huyo mmoja. huyu ambaye hana cheti cha JKT hata nikimpachika wakubwa watamchomoa na kumrejesha nyumbani.

Lonja ya PT kambi za mikoani nawapa hii wakuu
***** hiki cheti kimeanza kuwa Lulu.

Ila hizi interview za mkoani ukiwa na mbanga huwez kuwa na pressure, maana zipo easy sana.
 
kuna mzee alimtext sombobody x kuwa kuna nafasi mbili za polisi kama anavijana ampe majina(mkoani) yule mtu x akajibu ninao wawili ila mmoja hajapita JKT
yule mzee akajibu mlete huyo mmoja. huyu ambaye hana cheti cha JKT hata nikimpachika wakubwa watamchomoa na kumrejesha nyumbani.

Lonja ya PT kambi za mikoani nawapa hii wakuu
Baba kantuma,waje nichukua na Mimi tu
 
Back
Top Bottom