NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
ASP si ndio 3 stars kwa PT.?Kama ni ASP nina uhakika 150% kuwa kwa sasa basic salary yake analipwa kulingana na cheo chake na sio elimu yake ingawa ataendelea kuchukua "proffesional allowance " yake kama kawaida nje ya mshahara wake .
Structure ya ulipaji ndani ya PT ni tofauti. That is all I can tell u. Do your research for ur own understanding.
Sent using Jamii Forums mobile app