Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama ni ASP nina uhakika 150% kuwa kwa sasa basic salary yake analipwa kulingana na cheo chake na sio elimu yake ingawa ataendelea kuchukua "proffesional allowance " yake kama kawaida nje ya mshahara wake .

Structure ya ulipaji ndani ya PT ni tofauti. That is all I can tell u. Do your research for ur own understanding.
ASP si ndio 3 stars kwa PT.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jwtz inapendwa jamani

Na zile gwanda zao ni full respect kwanza ni nzuri

Ata ukiwa nanga muangujiashi lakini huku uraiani raia wanakuogopa sijui wanakuonaje ukiwa umevaa hii kasumba ipo mpka leo na itaendelea kuwepo

Kitaa mademu waliokukataa kipindi hicho ni saidia fundi na mshati wako ule ule unaopenda kurudia kuvaa miguu imepauka kwa cement wanaanza kujileta [emoji1787]

Wacha wadau wazidi kuipambania

Haya sasa mwageni lonja naona umepoa humu
Mimi napenda PT staki habari ya kukaa mipakani
 
Oya uliulizwa hilo swali na nani? au kuna mtu ulikuwa unachonga naye ili kukufanyia mpango wa kujoin na hao wanaopiga military science ,?
 
Ila mkiingia huko mkumbuke kujenga asee. Wajeda kwenye kuwa na makazi mazuri wanajitahidi sana.
Suala la kujenga ni akili ya mtu tu ninao wajomba zangu wako JW hata nyumba hawana halafu kitaa vijana wengi sana wa PT sahiv wanaishi kwenye nyumba zao Kali tu
Kwahiyo suala la maendeleo ni la mtu binafsi na akili yake haihusiani na kazi yake
 
Suala la kujenga ni akili ya mtu tu nijao wajomba zangu wako JW hata nyumba hawana halafu kitaa vijana wengi sana wa PT sahiv wanaishi kwenye nyumba zao Kali tu
Ma PT wakongwe wanazingua .Hili la kujenga kwao lilikuw zito hata ukienda huko ccp naambiwa ni kitu ambacho mtasisitiziwa kuhusu ujenzi. Na hili limetokqna na pale misiba inatokea afu ndio mambo kama hayo yanatokea. Generation ya vijana ndio inaleta mabadiliko na kuishi kuendqnq na muda. Hata usafiri vijana wengi wanamiliki.
 
Hata walimu vijana wengi wamejenga na wanatembelea gari ndogo....maendeleo ni mipango tu ukiwa na hela kidogo
Suala la kujenga ni akili ya mtu tu ninao wajomba zangu wako JW hata nyumba hawana halafu kitaa vijana wengi sana wa PT sahiv wanaishi kwenye nyumba zao Kali tu
Kwahiyo suala la maendeleo ni la mtu binafsi na akili yake haihusiani na kazi yake
 
Ndege tai mwanangu wa 825 daah hao kaunda suti tunapataje nafasi mkuu...umri unaenda
 
Ma PT wakongwe wanazingua .Hili la kujenga kwao lilikuw zito hata ukienda huko ccp naambiwa ni kitu ambacho mtasisitiziwa kuhusu ujenzi. Na hili limetokqna na pale misiba inatokea afu ndio mambo kama hayo yanatokea. Generation ya vijana ndio inaleta mabadiliko na kuishi kuendqnq na muda. Hata usafiri vijana wengi wanamiliki.
Ndo hivyo suala la maendeleo ni la mtu binafsi tu, siyo kwamba wazee wa zaman PT walikua hawapati hela walikua wanapata sana tu ila wengi akili za maendeleo walikua hawana wakiona wamepewa nyumba za kuish bas kila hela anayopata inaishia kwenye starehe.

ila kwa sasa mtaani nashuhudia vijana wengi wa PT wamekuja kununua viwanja na wamejenga na wanaishi maisha safi tu na wengine Wana biashara zao hata kukaa huko kotaz sidhan kama wanataka tena
 
Hata walimu vijana wengi wamejenga na wanatembelea gari ndogo....maendeleo ni mipango tu ukiwa na hela kidogo
Kabisa maendeleo ni suala la mtu binafsi, sahiv watumishi wengi sana wanakimbizana na muda , waalim wa sasa hivi siyo waalimi wa kizaman watu wanajitahidi kutengeneza makazi na kuanzisha biashara mbali mbali wanaishi maisha poa tu
 
Upo sahihi kabisa
 
Ma PT wakongwe wanazingua .Hili la kujenga kwao lilikuw zito hata ukienda huko ccp naambiwa ni kitu ambacho mtasisitiziwa kuhusu ujenzi. Na hili limetokqna na pale misiba inatokea afu ndio mambo kama hayo yanatokea. Generation ya vijana ndio inaleta mabadiliko na kuishi kuendqnq na muda. Hata usafiri vijana wengi wanamiliki.
Hii kweli kabisa PT zamani wengi walikuwa hawajengi ni pombe na wanawake akistaafu anarudi kijijini kwenye nyumba ya marehemu wazee wake

Sahivi mambo yamebadilika
 
Jwtz inapendwa jamani

Na zile gwanda zao ni full respect kwanza ni nzuri

Ata ukiwa nanga muangujiashi lakini huku uraiani raia wanakuogopa sijui wanakuonaje ukiwa umevaa hii kasumba ipo mpka leo na itaendelea kuwepo

Kitaa mademu waliokukataa kipindi hicho ni saidia fundi na mshati wako ule ule unaopenda kurudia kuvaa miguu imepauka kwa cement wanaanza kujileta [emoji1787]

Wacha wadau wazidi kuipambania

Haya sasa mwageni lonja naona umepoa humu

Nimecheka mnoo hapo mwishoni mkuu, umepita mulemule[emoji419]
 
No sio kwl hao unaowasema walikua makutopora wakarudi dar wameripot TMA TAREHE 3/12/2022
walipo enda makutupora kupiga wengi mule walichomekwa had darasa la 7 wengine sio madokta sio mainjinia kwahiyo walivo maliza reflesh ya jkt miez mitatu wakafanyiwa tena usahili Wale ambao wana shahada wakachukuliwa kwenda dar kambi ya TAU ndio ambao wapo TMA sahiz wale walio baki wameenda msata wanasubir kupiga kozi hawaja changanywa na wale millitary science ambao walichukuliwa mujibu wa sheria wao wanasubir Bogi liende
 
Back
Top Bottom