Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hv wakuu suma jkt kuna watu wanalipwa mpaka laki 4 kwa mwezi...??na kama wapo ni kitengo gani
Kama ungekuwa Kambi kama TWALIPO pale nasikia mkuu wa kikosi anawapiganishia sana maservice kwenda sehemu mbalimbali baadhi wanaeenda hadi Brt kwenye mwendokasi wengine wanaingia bandari n.k

Kuhusu ishu ya mshahara chief huo haumtoshagi mtu watu wanachezea sana posho hzo ndo tamu.
 
Jamaaa wa ikulu wazee wa kaunda suti vp mkuu
Hao tayari wameshachukua watu wao na mtanange ulikuwa mkali mpaka kuna RPC mwanae alikosa nafasi na jamaa wa ikulu akampuna RPC one million

Kaunda suti kuna makosa wamefanya hapa kati walibeba wale waliojenga ikulu sasa many of them ni low IQ aise
 
Kama ungekuwa Kambi kama TWALIPO pale nasikia mkuu wa kikosi anawapiganishia sana maservice kwenda sehemu mbalimbali baadhi wanaeenda hadi Brt kwenye mwendokasi wengine wanaingia bandari n.k

Kuhusu ishu ya mshahara chief huo haumtoshagi mtu watu wanachezea sana posho hzo ndo tamu.
Aaaah kumbe
 
Low iQ unamaanisha nini mkuu, na vp washaanza kozi au
 
Mzee hizo kozi za Afisa kadeti huwa sio poa..nidhamu ni hali ya juu sana kuna mwana alituhadithia kipindi wapo coarse kuna jamaa alivaa kandambili za mwenzake kwenda kukoga bila ruhusa ya mwenye kanda mbili...jamaa aliechukua kandambili alifukuzwa mafunzo akihesabika yeye ni mwizi unachukuaje kitu cha mtu bila ruhusa
Ni kweli. Kama una uniform hutakiwi. Inakulazimu tu uwe na usafiri. Ndio hiyo mikopo inapokuja.
 
Kama ungekuwa Kambi kama TWALIPO pale nasikia mkuu wa kikosi anawapiganishia sana maservice kwenda sehemu mbalimbali baadhi wanaeenda hadi Brt kwenye mwendokasi wengine wanaingia bandari n.k

Kuhusu ishu ya mshahara chief huo haumtoshagi mtu watu wanachezea sana posho hzo ndo tamu.
Askari wa suma jkt kuwa BRT au Bandarini hakufanyi awe na mshahara mkubwa ispokuwa wanaopangiwa bandarini (wakipata port yenye upungufu wa wafanyakazi) angalau wanaweza kuokoteza hata 10K per day kwa kupitisha vimizigo vidogovidogo

Pia kuna suma jkt wameshawai kupiga dili la Milion 9 hivi nawaona kwa macho yangu (nililia saana hiyo siku maana huwa siwapendi na huwa nawakazia kweli) sitakagi wapate hata Mia
 
Ndo nilichoita posho icho ivyo vidili vya bandarini vikitokea unacheka
 
walipo enda makutupora kupiga wengi mule walichomekwa had darasa la 7 wengine sio madokta sio mainjinia kwahiyo walivo maliza reflesh ya jkt miez mitatu wakafanyiwa tena usahili Wale ambao wana shahada wakachukuliwa kwenda dar kambi ya TAU ndio ambao wapo TMA sahiz wale walio baki wameenda msata wanasubir kupiga kozi hawaja changanywa na wale millitary science ambao walichukuliwa mujibu wa sheria wao wanasubir Bogi liende
Vipi waliochaguliwa military science mujibu wa sheria wameshaenda??
 
Daaah haya maisha asee sjui baba mdogo sajenti wa jeshi lkn ananiangalia tu mtaani nateatea na kulob lob miaka inaenda, kmkk daah
Dah huu upande WA Ndugu Ndugu huu[emoji23]...ngoja tukaushe hizi story watasema tunaleta story za Ndugu Ila kuna kukunjiana Sana aisee utafikiri sio ndugu
 
Mzee hizo kozi za Afisa kadeti huwa sio poa..nidhamu ni hali ya juu sana kuna mwana alituhadithia kipindi wapo coarse kuna jamaa alivaa kandambili za mwenzake kwenda kukoga bila ruhusa ya mwenye kanda mbili...jamaa aliechukua kandambili alifukuzwa mafunzo akihesabika yeye ni mwizi unachukuaje kitu cha mtu bila ruhusa
Duuuh sasa Huyo mwenye kandambili alienda kumchoma?
 
Dah huu upande WA Ndugu Ndugu huu[emoji23]...ngoja tukaushe hizi story watasema tunaleta story za Ndugu Ila kuna kukunjiana Sana aisee utafikiri sio ndugu
Ujinga tu man me naumia kinoma nina msure Meja wa JW ila toka kitambo ananipiga kalenda mpaka kuna day nilimwandikia essay ya maana akumbuke wanae sisi ndo tutaishi nao akivuta japo ya Mungu mengi.
 
Hahahahahaa ni baba yako mdogo au mkubwa? Na alikujibu nin?
 
Back
Top Bottom