Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jeneral[emoji3538][emoji294][emoji294]BIBI NA BWANA
Luteni jeneral-[emoji3538][emoji294]BIBI NA BWANA
Meja jeneral-BIBI NA BWANA+[emoji3538]
Brigedia-[emoji294][emoji294][emoji294]+BIBI NA BWANA
Kanali-[emoji294][emoji294]+BIBI NA BWANA
Luteni kanal-[emoji294]+BIBI NA BWANA
Meja-BIBI NA BWANA
Captain[emoji294][emoji294][emoji294]
Luteni[emoji294][emoji294]
Luteni usu [emoji294]
Kama mtu hujui kitu si ukae kimya, kwann unajichoresha alafu hujui
1. General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐⭐⭐⭐)
2. Luten General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐⭐⭐)
3. Major General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐⭐)
4. Brigadier General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐)
5. Kanali (Bibi na Bwana + ⭐⭐)
6. Luten Kanali (Bibi na Bwana + ⭐)
7. Major (Bibi na Bwana)
8. Captain (⭐⭐⭐)
9. Luten (⭐⭐)
10. Luten Usu (⭐)

Hivyo ndio vyeo vya maafisa wakubwa wa JWTZ. watu wanajikuta wanajua vitu alafu ni uongo
 
Mweka kikatoa post za lecturers na tutorial assistants, jaribu kuipitia sana utumishi hasa hasa ukizipenda kazi za maliasili. japo kibali cha watu 6000 nadhani na wao wapo njiani wanakuja ila jiandae na sahili za utumishi
 
Kama mtu hujui kitu si ukae kimya, kwann unajichoresha alafu hujui
1. General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294])
2. Luten General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294][emoji294])
3. Major General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
4. Brigadier General (Mkasi + Bibi na Bwana + [emoji294])
5. Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294][emoji294])
6. Luten Kanali (Bibi na Bwana + [emoji294])
7. Major (Bibi na Bwana)
8. Captain ([emoji294][emoji294][emoji294])
9. Luten ([emoji294][emoji294])
10. Luten Usu ([emoji294])

Hivyo ndio vyeo vya maafisa wakubwa wa JWTZ. watu wanajikuta wanajua vitu alafu ni uongo
Vilibalidilishwa kumbe baada ya Waitara kitu kama icho
 
Kama mtu hujui kitu si ukae kimya, kwann unajichoresha alafu hujui
1. General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐⭐⭐⭐)
2. Luten General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐⭐⭐)
3. Major General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐⭐)
4. Brigadier General (Mkasi + Bibi na Bwana + ⭐)
5. Kanali (Bibi na Bwana + ⭐⭐)
6. Luten Kanali (Bibi na Bwana + ⭐)
7. Major (Bibi na Bwana)
8. Captain (⭐⭐⭐)
9. Luten (⭐⭐)
10. Luten Usu (⭐)

Hivyo ndio vyeo vya maafisa wakubwa wa JWTZ. watu wanajikuta wanajua vitu alafu ni uongo
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Wakubwa wa vikosi mara nyingi huwa ni
1.captain
2.Luten

Ni ngumu saana kumkuta kanal ni mkuu wa JKT kumbuka mikoa mingi haina brigedia general

Mfano mkoa wa kigoma mwanajeshi mwenye cheo kikubwa mkoa mzima ni kanali ambae anaripoti FARU tabora

Kanal wa kigoma Risasi 70 anapata shabaha zote
Hapo 1 na 2 ni chai hii.
 
Ndio mtu nilikua namtegemea kwa lonja za uhakika...
Kumbe hata hafahamu luteni ni nyota 2 ...Pale TMA wako wengi sana maluteni maana nyota ya pili huwa inakucommissioned baada ya muda mfupi tu
Upo sawa na nadhani unaelewa kuwa katoka luten usu to captain ni simple saana but ni ngumu kutoka captain kupanda zaidi

Kwa kigoma hakuna JKT ambayo mkuu wake ni kanal wala luten kanal (kwa sasa)

Now ni simple kukukuta captain ni mkuu wa kikosi cha JKT kuliko luten kanal
 
Back
Top Bottom