Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kiongozi kiuhalisia nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya Polisi na wenzao wote wa mambo ya ndani, kule Monduli maluteni usu kila mwaka huwa wanaapishwa na President tu, na hajawahi tuma mwakilishi 'kwa niaba yake' ni lazima aende yeye mwenyewe

JWTZ hakuna gazetted officers wote kuanzia Luteni usu hadi Generali huitwa commissioned officers

Anyway labda mapolisi wa humu ndani watuambie hapo kwenye masuala ya protocol, kwamba kwa mfano Luteni usu (nyota moja wa jwtz) na ASP (nyota tatu wa polisi) wakikutana, nani ataanza kudondosha Salute kwa mwenzake

Wapo wanaosema hayo ni majeshi tofauti yenye mifumo tofauti, hivyo haina haja ya kupigiana salute, labda wao wenyewe wa mambo ya ndani ndio vyeo vyao viko sawa ila siyo kwa JWTZ

Lakini as far as i know ni kuwa JWTZ ndio jeshi senior na superior kiprotocol, ndio maana hata kwenye mikutano ya viongozi mfano ikulu au bungeni mpangilio wao wa kukaa mara nyingi huwa anaanza CDF, IGP, DGIS, CGP, CGF then CGI, halafu ndio wanafuata hao wa PCCB na DCEA

Hata kipindi cha Magufuli alitaka aanzishe system ya kuteua general officers wa JWTZ kuwa wakuu wa vyombo vya usalama vya mambo ya ndani, mfano alimteua Suleiman Mzee kuwa CGP Magereza ambaye alikuwa ni Major General cheo cha tatu kutoka juu, na tena hiyo ilihesabika ni kama demotion

Wakati kwa magereza cheo cha tatu kutoka juu ni DCP, so maana yake ni kwamba, Major General wa JWTZ na DCP wa Magereza kiprotocol hawako sawa MG ni mkubwa
Umeiva hasa mkuu wewe utakuwa chomboni huwezi kunifanyia pande kwa bwana mdogo wangu aje hapo MSATA
 
Hahaha sawa mkuu...ila wenyewe wakikutana hawanaga huu ubishi mkuu maana wanajua kuwa sio rahisi kuvipata walivyonavyo mabegani.

Huwa wanasema kama unaona ni rahisi kuipata nyota basi ifate kaichukue angani.😂😂😂


Tupe lonja za UT kwanza mkuu. Pdf inatoka lini ? Hizi habari za salute tuziache
Ety kama ni rahisi kaifate Angani 😂
 
Haha eti kamuulize Magufuli daah sawa mkuu

Haya majeshi yana seniority lakini

Yani kumfananisha nyota tatu wa JWTZ na nyota tatu wa PT, UT, MT na ZT tunadanganyana asee
Afande samahani mbona tunaona Magufuli huyu huyu katoa watu PT na MT kwemda kuwa CGF kama huyu wasasahivi alikuwa DCP MT ni sawa? Au kwakuwa wote wapo Home Affairs?
 
Mi nilipita pale kwata walikaza kama kawa, siwez sahau Kuna Babu mmoja anavuta sigara atar ni staff sajent anaitwa "Babu Venue" mzee alituzungusha round 25 za mwendo wa pole, Kila saa tuna maliza unaskia "Samahani afande warudie tena". Mkifanya vizur anafurah anataka mrudie tena aone mkifanya vibaya mtakula kazi na mtarudia Yani ile siku tulitoka paredi kama tumeganda mpaka ma private wakawa wanasepa kula Tano alafu wanarudi mzee yupo na sisi. [emoji23][emoji23][emoji23] Kesho yake asubuhi akatuamkia tena mzee akatushtua kwata kidogo tukarudisha silaha Amala tukanywa chai tumerudi akatupiga ruti ndefu ile tumefika[emoji23][emoji23][emoji23] tukawekwa kivulini Ili tufundishwe silaha alafu ma private wamejaa kibao, oya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulikua tuna kula mabanzi vibaya mno sababu watu tunasinzia pale kwenye vivuli vya miti Kuna upepo balaa afu watu tumechoka mnoo. Yani jirani yako anapigwa banzi pembeni yako unashtuka [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya dk 5 mnasinzia tena, daah
Hahahahahaha kuruti mdudu wew yeye anapenda kula na kulala tu. Wazee wa kubasti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahah dah umenichekesha sana mkuu, ma private walikuwa wengi hapo makusudi maana walijua tu mtasinzia lazima, kwahyo kazi yao ilikuwa kuwashtua kwa mabanzi, bora kwetu watu walikuwa wanapigwa nua, na bado mtu akirud kukaa anasinzia tena daah maisha haya hahahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu Kaloa baada ya dakik 5 anaanza kusinzia,kuruta mdudu
 
Jamaa inaonekana alikatwa kibangala kwenye saili, kaona atumie uvccm kututetea wengine. Jeshi ambalo halinaga mbambamba ni JWTZ kule uwe mrefu, mfupi twendee kikubwa unamaji ya kutosha, umefungua moyo na afya iko njema, ni mwendo wa magogo na mistimu +kubeba dunia juu ya mawe smg mikononi kichwa kwenye jiwe+ viboko vya kutosha.
Duuuh hyo scale sio mchezo
 
Back
Top Bottom