Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mii napenda kusema wapendwa msife moyo mambo mazuri yanakuja mwezi wa nane. Kikubwa jitunze vizuri na tunza vyeti vyako na kama vinachangamoto basi anza saivi kufanyia kazi kama unawezekana why nasema ivyo

Ngoja niwatoe hofu wale ambao hawaamini kuhus mwezi wa nane mim nina mtu wangu ambae ni mzee wangu ni mkubwa tuuh uko JW. Mimi nilikua napenda sana kwenda
police na nafasi zilivy toka nikaanz process ila sema cheti changu cha kuzaliwa kilikua kinashida kidogo mana nida yangu inasema nimezaliwa Zanzibar then cheti kinasema nimezaliwa tabora apo mzee akasema niache

nisubir JW mwezi wa nane wanakuja Mana kuna rafiki yake ambae ni mkuu wa kambi ya JKT ila sito itaja jina pia yupo mtu mwingine ambae ndo anahusika na kila kitu kuhus ishu za kuingia JW ambao wameniambia kuhus mwezi wa nane kwaiy msife moyo kikubwa kuvumilia na kujiweka vizuri hasa kwenye afya yako

Pia kuna mkuu wa mkoa ila sito taja mkoa gani ni rafiki wa mama ambae alikua anasimamia mim kwenda police amemwambia mama kua nisubir mwezi wa nane wanakuja tenna kwaiy inaonesha kua ata police mwezi wa nane wanakuja so nacho waaomba kueni wavumiliv mim nina elimu ya form 4 mana form 6 nilizingua

Ila bado sijakata tamaa mana ishu za kuingia uko nimeanza mwaka huu kwaiy sina uzoefu wowote na izo ishu za usaili japo nimeona changamoto wanazo pitia watu ila naomba tusivunjike moyo mana naona mtu ana degree mzuri tuuh anatak kukata tamaa acheni izo mambo mazuri yanakuja
 
Mkuu hebu nichomekee hapo kwa mzee kama ataweza kunielewa na kunisaidia aseee
 
Leo magereza dodoma,yupo mkuu wa wilaya na makamanda wengine,km umezidi umri hata siku moja pita hivi,hujafika kimo pita hivi,unaenda mbele pale wanakagua vyeti baada ya hapo unaenda kupimwa ulefu usipofikisha unapewa vyeti unasepa,ukifikisha unahojiwa,unakaguliwa km huna Chara,unapimwa afya siku hiyo hiyo
Nzuri hiyo.
 
Mii napenda kusema wapendwa msife moyo mambo mazuri yanakuja mwezi wa nane. Kikubwa jitunze vizuri na tunza vyeti vyako na kama vinachangamoto basi anza saivi kufanyia kazi kama unawezekana why nasema ivyo

Ngoja niwatoe hofu wale ambao hawaamini kuhus mwezi wa nane mim nina mtu wangu ambae ni mzee wangu ni mkubwa tuuh uko JW. Mimi nilikua napenda sana kwenda
police na nafasi zilivy toka nikaanz process ila sema cheti changu cha kuzaliwa kilikua kinashida kidogo mana nida yangu inasema nimezaliwa Zanzibar then cheti kinasema nimezaliwa tabora apo mzee akasema niache

nisubir JW mwezi wa nane wanakuja Mana kuna rafiki yake ambae ni mkuu wa kambi ya JKT ila sito itaja jina pia yupo mtu mwingine ambae ndo anahusika na kila kitu kuhus ishu za kuingia JW ambao wameniambia kuhus mwezi wa nane kwaiy msife moyo kikubwa kuvumilia na kujiweka vizuri hasa kwenye afya yako

Pia kuna mkuu wa mkoa ila sito taja mkoa gani ni rafiki wa mama ambae alikua anasimamia mim kwenda police amemwambia mama kua nisubir mwezi wa nane wanakuja tenna kwaiy inaonesha kua ata police mwezi wa nane wanakuja so nacho waaomba kueni wavumiliv mim nina elimu ya form 4 mana form 6 nilizingua

Ila bado sijakata tamaa mana ishu za kuingia uko nimeanza mwaka huu kwaiy sina uzoefu wowote na izo ishu za usaili japo nimeona changamoto wanazo pitia watu ila naomba tusivunjike moyo mana naona mtu ana degree mzuri tuuh anatak kukata tamaa acheni izo mambo mazuri yanakuja
Dahhh watu wanasaidiwa na wakuu wa mikoa kuna ww hauna hta mtu wa kukushika mkono aisee hii dunia bhna😭
 
Amn usisem ivyo pia unajua why nimeandika ivi nimeandika ivi kutokana na watu kuja sana DM toka nilivyo sema kuhus ishu ya mwezi wa nane wengine wanatak kujua kiundani kama kweli nikaona leo wacha niwek wazi kwa wote kua ni uhakika kutokana na sehem nilio ambiwa ili msife moyo pia kuhusu connection kiukwel mim nipo nnje ya uwezo mana sina iyo kauli kusema uyu apate uyu akose point kubwa apa kuto kukata tamaa basi nihayo tuuh wapendwa nimesem ivi mana napenda kuona kila mtu anapata
 
Oya kwahyo Jw ni mpaka mwezi wa8 vipi lonja ya mwezi huu?? Na hyo mwezi wa 8 UT watakuja tena
 
Amn usisem ivyo pia unajua why nimeandika ivi nimeandika ivi kutokana na watu kuja sana DM toka nilivyo sema kuhus ishu ya mwezi wa nane wengine wanatak kujua kiundani kama kweli nikaona leo wacha niwek wazi kwa wote kua ni uhakika kutokana na sehem nilio ambiwa ili msife moyo pia kuhusu connection kiukwel mim nipo nnje ya uwezo mana sina iyo kauli kusema uyu apate uyu akose point kubwa apa kuto kukata tamaa basi nihayo tuuh wapendwa nimesem ivi mana napenda kuona kila mtu anapata
Iyo nzuri ,umeeleweka alafu nimeipenda iyo
 
Ndege Tai Mkuu ulikuwa sahihi kila wilaya kwa MT wanachukua watu 7 kwa watakofanyia mkoa wa Mwanza hasa pale mkoani watapita 21 maana Ilemela na Misungwi wote wanatumia Wilaya ya Nyamagana na ndio kuna Gereza!!
Nilipewa ronja na jamaa wa magereza pale pale ila hana channel kubwa sana yule jamaa
 
Back
Top Bottom