mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Kwa ground mambo magumu mkuu!!Ile statement kuwa watu hawapendi magereza,sijaiona life limekaza Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ground mambo magumu mkuu!!Ile statement kuwa watu hawapendi magereza,sijaiona life limekaza Sana
Bado hawajakimbiza watu mabio hapo ....idadi itazidi kupunguaJapo wansema waliita watu 370 ila hatukufika
DadeqWaliitemwa km njugu
Mkuu hebu nichomekee hapo kwa mzee kama ataweza kunielewa na kunisaidia aseeeMii napenda kusema wapendwa msife moyo mambo mazuri yanakuja mwezi wa nane. Kikubwa jitunze vizuri na tunza vyeti vyako na kama vinachangamoto basi anza saivi kufanyia kazi kama unawezekana why nasema ivyo
Ngoja niwatoe hofu wale ambao hawaamini kuhus mwezi wa nane mim nina mtu wangu ambae ni mzee wangu ni mkubwa tuuh uko JW. Mimi nilikua napenda sana kwenda
police na nafasi zilivy toka nikaanz process ila sema cheti changu cha kuzaliwa kilikua kinashida kidogo mana nida yangu inasema nimezaliwa Zanzibar then cheti kinasema nimezaliwa tabora apo mzee akasema niache
nisubir JW mwezi wa nane wanakuja Mana kuna rafiki yake ambae ni mkuu wa kambi ya JKT ila sito itaja jina pia yupo mtu mwingine ambae ndo anahusika na kila kitu kuhus ishu za kuingia JW ambao wameniambia kuhus mwezi wa nane kwaiy msife moyo kikubwa kuvumilia na kujiweka vizuri hasa kwenye afya yako
Pia kuna mkuu wa mkoa ila sito taja mkoa gani ni rafiki wa mama ambae alikua anasimamia mim kwenda police amemwambia mama kua nisubir mwezi wa nane wanakuja tenna kwaiy inaonesha kua ata police mwezi wa nane wanakuja so nacho waaomba kueni wavumiliv mim nina elimu ya form 4 mana form 6 nilizingua
Ila bado sijakata tamaa mana ishu za kuingia uko nimeanza mwaka huu kwaiy sina uzoefu wowote na izo ishu za usaili japo nimeona changamoto wanazo pitia watu ila naomba tusivunjike moyo mana naona mtu ana degree mzuri tuuh anatak kukata tamaa acheni izo mambo mazuri yanakuja
Nzuri hiyo.Leo magereza dodoma,yupo mkuu wa wilaya na makamanda wengine,km umezidi umri hata siku moja pita hivi,hujafika kimo pita hivi,unaenda mbele pale wanakagua vyeti baada ya hapo unaenda kupimwa ulefu usipofikisha unapewa vyeti unasepa,ukifikisha unahojiwa,unakaguliwa km huna Chara,unapimwa afya siku hiyo hiyo
Dahhh watu wanasaidiwa na wakuu wa mikoa kuna ww hauna hta mtu wa kukushika mkono aisee hii dunia bhna😭Mii napenda kusema wapendwa msife moyo mambo mazuri yanakuja mwezi wa nane. Kikubwa jitunze vizuri na tunza vyeti vyako na kama vinachangamoto basi anza saivi kufanyia kazi kama unawezekana why nasema ivyo
Ngoja niwatoe hofu wale ambao hawaamini kuhus mwezi wa nane mim nina mtu wangu ambae ni mzee wangu ni mkubwa tuuh uko JW. Mimi nilikua napenda sana kwenda
police na nafasi zilivy toka nikaanz process ila sema cheti changu cha kuzaliwa kilikua kinashida kidogo mana nida yangu inasema nimezaliwa Zanzibar then cheti kinasema nimezaliwa tabora apo mzee akasema niache
nisubir JW mwezi wa nane wanakuja Mana kuna rafiki yake ambae ni mkuu wa kambi ya JKT ila sito itaja jina pia yupo mtu mwingine ambae ndo anahusika na kila kitu kuhus ishu za kuingia JW ambao wameniambia kuhus mwezi wa nane kwaiy msife moyo kikubwa kuvumilia na kujiweka vizuri hasa kwenye afya yako
Pia kuna mkuu wa mkoa ila sito taja mkoa gani ni rafiki wa mama ambae alikua anasimamia mim kwenda police amemwambia mama kua nisubir mwezi wa nane wanakuja tenna kwaiy inaonesha kua ata police mwezi wa nane wanakuja so nacho waaomba kueni wavumiliv mim nina elimu ya form 4 mana form 6 nilizingua
Ila bado sijakata tamaa mana ishu za kuingia uko nimeanza mwaka huu kwaiy sina uzoefu wowote na izo ishu za usaili japo nimeona changamoto wanazo pitia watu ila naomba tusivunjike moyo mana naona mtu ana degree mzuri tuuh anatak kukata tamaa acheni izo mambo mazuri yanakuja
Amn usisem ivyo pia unajua why nimeandika ivi nimeandika ivi kutokana na watu kuja sana DM toka nilivyo sema kuhus ishu ya mwezi wa nane wengine wanatak kujua kiundani kama kweli nikaona leo wacha niwek wazi kwa wote kua ni uhakika kutokana na sehem nilio ambiwa ili msife moyo pia kuhusu connection kiukwel mim nipo nnje ya uwezo mana sina iyo kauli kusema uyu apate uyu akose point kubwa apa kuto kukata tamaa basi nihayo tuuh wapendwa nimesem ivi mana napenda kuona kila mtu anapataDahhh watu wanasaidiwa na wakuu wa mikoa kuna ww hauna hta mtu wa kukushika mkono aisee hii dunia bhna😭
Mii napenda kusema wapendwa msife moyo mambo mazuri yanakuja mwezi wa nane. Kikubwa jitunze vizuri na tunza vyeti vyako na kama vinachangamoto basi anza saivi kufanyia kazi kama unawezekana why nasema ivyo
Ngoja niwatoe hofu wale ambao hawaamini kuhus mwezi wa nane mim nina mtu wangu ambae ni mzee wangu ni mkubwa tuuh uko JW. Mimi nilikua napenda sana kwenda
police na nafasi zilivy toka nikaanz process ila sema cheti changu cha kuzaliwa kilikua kinashida kidogo mana nida yangu inasema nimezaliwa Zanzibar then cheti kinasema nimezaliwa tabora apo mzee akasema niache
nisubir JW mwezi wa nane wanakuja Mana kuna rafiki yake ambae ni mkuu wa kambi ya JKT ila sito itaja jina pia yupo mtu mwingine ambae ndo anahusika na kila kitu kuhus ishu za kuingia JW ambao wameniambia kuhus mwezi wa nane kwaiy msife moyo kikubwa kuvumilia na kujiweka vizuri hasa kwenye afya yako
Pia kuna mkuu wa mkoa ila sito taja mkoa gani ni rafiki wa mama ambae alikua anasimamia mim kwenda police amemwambia mama kua nisubir mwezi wa nane wanakuja tenna kwaiy inaonesha kua ata police mwezi wa nane wanakuja so nacho waaomba kueni wavumiliv mim nina elimu ya form 4 mana form 6 nilizingua
Ila bado sijakata tamaa mana ishu za kuingia uko nimeanza mwaka huu kwaiy sina uzoefu wowote na izo ishu za usaili japo nimeona changamoto wanazo pitia watu ila naomba tusivunjike moyo mana naona mtu ana degree mzuri tuuh anatak kukata tamaa acheni izo mambo mazuri yanakuja
Iyo nzuri ,umeeleweka alafu nimeipenda iyoAmn usisem ivyo pia unajua why nimeandika ivi nimeandika ivi kutokana na watu kuja sana DM toka nilivyo sema kuhus ishu ya mwezi wa nane wengine wanatak kujua kiundani kama kweli nikaona leo wacha niwek wazi kwa wote kua ni uhakika kutokana na sehem nilio ambiwa ili msife moyo pia kuhusu connection kiukwel mim nipo nnje ya uwezo mana sina iyo kauli kusema uyu apate uyu akose point kubwa apa kuto kukata tamaa basi nihayo tuuh wapendwa nimesem ivi mana napenda kuona kila mtu anapata
Kwa nini kaka ? Nidadavulie hapo.Waliitemwa km njugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh nimekimbia kuja kucheki PDF la polisi kumbe hamna kitu. Wamenitania
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Waliletwa wengi kwenye gari la jwtzKwa nini kaka ? Nidadavulie hapo.
Chui wa kijani tupe lonja ya polisi wanaaachia lini pdf?nimeandika ivi kutokana na watu kuja sana DM toka nilivyo sema kuhus ishu ya mwezi wa nane wengine wanatak kujua kiundani kama
Walikua kama hamsini ila walianza na uraianiDuh na maservice walikua wa kutosha nn
Ahaaah sawa. Vipi lakini wamejaaliwa baadhi yao kukidhi vigezo na kusailiwa ?Waliletwa wengi kwenye gari la jwtz
Nilipewa ronja na jamaa wa magereza pale pale ila hana channel kubwa sana yule jamaaNdege Tai Mkuu ulikuwa sahihi kila wilaya kwa MT wanachukua watu 7 kwa watakofanyia mkoa wa Mwanza hasa pale mkoani watapita 21 maana Ilemela na Misungwi wote wanatumia Wilaya ya Nyamagana na ndio kuna Gereza!!