Tupe ronja za TEHAMA Na UFUNDI Mzeee!Sahihi kabisa,nina data za watu waliopoga usahili ufundi na tehama...ila watu waendelee kusubiri pdf bila kuwa na matarajio makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe ronja za TEHAMA Na UFUNDI Mzeee!Sahihi kabisa,nina data za watu waliopoga usahili ufundi na tehama...ila watu waendelee kusubiri pdf bila kuwa na matarajio makubwa
Wamechukua wangapi pande zote mbiliSahihi kabisa,nina data za watu waliopoga usahili ufundi na tehama...ila watu waendelee kusubiri pdf bila kuwa na matarajio makubwa
50 kila sehemu...tusubirieni PDF wazeeWamechukua wangapi pande zote mbili
50 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada?50 kila sehemu...tusubirieni PDF wazee
Mkuu Chebe23kid ,50 kuanzia cheti hadi shahada?50 kila sehemu...tusubirieni PDF wazee
Kuna baadhi ya taaluma walikuwa hawafiki 5050 kila sehemu...tusubirieni PDF wazee
Ukiona hivyo,haina maana kuwa watachukuliwa wote Ila Kuna watu watapita bila ushindani
Ningekuwa Mimi,nimechaguliwa kote na mda unabana Bora niende usahili wa polisi kuliko uhamiaji na pccbDuuh....mambo yapo kasi! Na pale tehema tulikuwa 300 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada
That means watu 250 wote wameachwa
Sema kilichonikera walivuta muda hadi jumamosi baadhi ya watu waliokuwa shortlisted uhamiaji wakashindwa kwenda alafu mwisho wa siku mtu anakosa huku na huku! Na walienda kuomba ruhusa ila wakawatalia..kwa tehama kama wamechukua 50 as you claim ni kama 16.7% ya waliofanya usahili ndio wamechuliwa that's means majeshini pameanza kuwa pagumu kama utumishi...ni rehema tu za Allah ila mambo yashakuwa magumu kwakweli
16% ni kubwa sana...hiyo ni bahat kwaoDuuh....mambo yapo kasi! Na pale tehema tulikuwa 300 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada
That means watu 250 wote wameachwa
Sema kilichonikera walivuta muda hadi jumamosi baadhi ya watu waliokuwa shortlisted uhamiaji wakashindwa kwenda alafu mwisho wa siku mtu anakosa huku na huku! Na walienda kuomba ruhusa ila wakawatalia..kwa tehama kama wamechukua 50 as you claim ni kama 16.7% ya waliofanya usahili ndio wamechuliwa that's means majeshini pameanza kuwa pagumu kama utumishi...ni rehema tu za Allah ila mambo yashakuwa magumu kwakweli
Hakika16% ni kubwa sana...hiyo ni bahat kwao
Duuh....mambo yapo kasi! Na pale tehema tulikuwa 300 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada
That means watu 250 wote wameachwa
Sema kilichonikera walivuta muda hadi jumamosi baadhi ya watu waliokuwa shortlisted uhamiaji wakashindwa kwenda alafu mwisho wa siku mtu anakosa huku na huku! Na walienda kuomba ruhusa ila wakawatalia..kwa tehama kama wamechukua 50 as you claim ni kama 16.7% ya waliofanya usahili ndio wamechuliwa that's means majeshini pameanza kuwa pagumu kama utumishi...ni rehema tu za Allah ila mambo yashakuwa magumu kwakweli
Haijatoka.jaribu kutrace huyo alikuwa anaijibu comment gani then utaelewaKwani PDF imeshatoka?
Kaka Tusubirie PDF ili tupate uhakika kamili,japo siku zote wenye fani huwa wanachukuliwa wachache sana tofauti na form 4Duuh....mambo yapo kasi! Na pale tehema tulikuwa 300 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada
That means watu 250 wote wameachwa
Sema kilichonikera walivuta muda hadi jumamosi baadhi ya watu waliokuwa shortlisted uhamiaji wakashindwa kwenda alafu mwisho wa siku mtu anakosa huku na huku! Na walienda kuomba ruhusa ila wakawatalia..kwa tehama kama wamechukua 50 as you claim ni kama 16.7% ya waliofanya usahili ndio wamechuliwa that's means majeshini pameanza kuwa pagumu kama utumishi...ni rehema tu za Allah ila mambo yashakuwa magumu kwakweli
Naam nidhamu muhimuNidhamu muhimu mkiingia chomboniView attachment 2527463