Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah nkajua pdf tayari mzePDF la Oct/2021 PT alichukua vijana 3275...kunywa maji mengi andaa nguvuView attachment 2544333
Waliomaliza mafunzo walikua 4,000+PDF la Oct/2021 PT alichukua vijana 3275...kunywa maji mengi andaa nguvuView attachment 2544333
Si ndo hapo...daah nkajua pdf tayari mze
Kuna bogi liliongezwa wakati course ikiendelea kama mwezi wa pili hivi
Target Makao, nimesha sema km yupo wa makao humu aje mi ntamgaramia hta nauli ya Dodoma na kurudi mana hili tangazo ndo limemlenga. Fulstop📌 na sio lazima unikubali mi sifany Approach wala agenda ya siasa hpa
Chief humu duniani hakuna jipya uhuni unafanywa sana ,kama kwenye nyumba za ibada watumishi wanaiba sadaka na wengine wanatapeli watu kwa mwamvuli wa dini.Kuna Jamaa zangu hapa Wawili wakike na Wakiume hawajawahi kwenda JKT kwa Mujibu wala kwa kujitolea,sasa wamepata Mkubwa jeshini wanadai nimiongoni mwa Ma Afisa wakuu Jeshini, Wametoa kama Milion kadhaa wapewe hizi nafasi. je..?? Kuna huu uhuni TPDF..???
Kama huu mchezo upo basi watoto wa Maskini mtasota sana huko makambini wengine wanachoropokea majumbani moja kwa moja RTS.
Usahili wa kazi na utumishi kwenye nyanja zote ukisimamiwa na malaika ndio kutakua na haki.Kuna Jamaa zangu hapa Wawili wakike na Wakiume hawajawahi kwenda JKT kwa Mujibu wala kwa kujitolea,sasa wamepata Mkubwa jeshini wanadai nimiongoni mwa Ma Afisa wakuu Jeshini, Wametoa kama Milion kadhaa wapewe hizi nafasi. je..?? Kuna huu uhuni TPDF..???
Kama huu mchezo upo basi watoto wa Maskini mtasota sana huko makambini wengine wanachoropokea majumbani moja kwa moja RTS.
Piganisha mapema chief na wikiend hii piga sala sana na utafte mtu wa kukushika mkonoNa ijumaa nafikiri posta wanawahi sana kufunga hapa ngoma mpka j 3 asee maana weekend hawafungui
Upo serious waliomaliza walikua 4000??
NI nouma.Kuna bogi liliongezwa wakati course ikiendelea kama mwezi wa pili hivi
Ila unapeleka kwa wakuu piaWengine wanalinda Mwez mzima bank so anakunja kam lak 3 hiv na wapo ambao hawabadilishwi wao kaz yao kulinda bank tu
Wanagawana na mabossCyo experience mkuu mbon wapo but analinda kwa for 2 weeks kila bank tena ktk hao ambao wameajiriwa juz tu yaan yy analinda Bank only Cjawah kumskia yupo sehem nyingine tangia aajiriwe mfan wik 2 yupo crdb but wik moj asubh wik inayofuata ni usku huyo ni GD
Cha kwanza! Ndiyo najua umekurupuka sasa Ili tuendelee nna ka swali kadogo maana unaweza kuwa unaongea tu hapa kwa kusikia stori tu na nnauliza hivi sababu kwa mwaka huo OP SAMIA wanafanyiwa usaili nilikuwa kanda hyo na nilishuhudia mpaka madogo wanafanyiwa usahili, Je huyo mdogo wako alikuwa kikosi gani?Nina mdogo wangu ni mwanajeshi kaapa mwaka jana msata alipita mujibu mwaka juzi op samia, waliulizwa kama wanataka kubaki waliokubali wakachukuliwa majina yao wakaenda msata na wengine oljoro, msidhani tunaandika vitu kwa kukurupuka tuna mifano
Yah na ushahidi ninaoUpo serious waliomaliza walikua 4000??