Yani niambiwe ninachopenda kusikia kuhusu jeshi hebu kuwa serious, mtu hawezi kutoka tu huko akakurupuka kubishia mambo asiyoyajua kuhusu jeshi, ukiona tunabisha ujue tumepita huko au tuna mifano
Sasa shida ni kwamba mnataka hata pale mnapopotosha tusiwakosoe tukae kimya tu, mngekuwa ninyi maaskari kweli msingekuja na kauli za kusema eti mujibu hawahitajiki jeshini kisa course yao miezi mitatu na blah blah nyingine, mnasahau kwamba hata mujibu nao wanafundishwa kutumia silaha na wakimaliza course nao wanaapa na huitwa service men/girls na kupewa namba ila mnajitoa ufahamu tu
Sawa private komaa upandepande vyeo usije ukaishia kuwa corporal tu, na usije ukaongea tena huo ujinga mbele ya wakubwa zako huko jeshini, hasa hao maofficer mnaowapigia salute maana wengi ndio mujibu