Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

We jamaa bana yani hapo ni private tu unajikuta unalifahamu jeshi utafikiri waliliunda babu zako, jeshi halikaririki wewe yani kama kweli wewe ni askari ulitakiwa ulijue hilo la sivyo unakuwa huna tofauti na mananga wengine tu, wewe nimegundua unachobishania wala haukijui napoteza muda tu hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bana yani hapo ni private tu unajikuta unalifahamu jeshi utafikiri waliliunda babu zako, jeshi halikaririki wewe yani kama kweli wewe ni askari ulitakiwa ulijue hilo la sivyo unakuwa huna tofauti na mananga wengine tu, wewe nimegundua unachobishania wala haukijui napoteza muda tu hapa
Shida unataka uambiwe unachopenda kusikia haya am out
 
We jamaa bana yani hapo ni private tu unajikuta unalifahamu jeshi utafikiri waliliunda babu zako, jeshi halikaririki wewe yani kama kweli wewe ni askari ulitakiwa ulijue hilo la sivyo unakuwa huna tofauti na mananga wengine tu, wewe nimegundua unachobishania wala haukijui napoteza muda tu hapa
Nilimu elimisha mim juz mpk saa8 usiku hakunielewa anajifany analijua jeshi kumbe ye kaingia juzi watu tuna six years n something na tunajua how things goin yan nngejua ka nlkuw nabishana na Private with Empty box nisingeua MB's zangu na nails to typin
 
Mrushie taulo chief
 
Kwa staili hii ya ujuaji mwingi dawa ni kuachwa hewan bila majibu yoyote maana mkionyeshwa njia hamchelewi kuharibu vifua vidogo sana kuhifadhi mambo
 
Vita ya mujibu na kujitolea kesho inaanza saa ngap?
20230123_130602.jpg

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Uvumilivu unahitajka ukiona ukimya hvyo ujue namba ilikuw demand alot kwahyo..ikija kutoka itatoka satisfied..nakumbuka 2022 awali ilikuw iwe 3500+ but ikakaa kmya ilivyotoka shulen wakaend 4310 then wakahutim 4122 while 186 ndo walikuw eliminated walifail mafunzo kinidham
 
Sahihi kabisa,watoto wa wakulima wajiandae tu na kutunza damu
 
Yani niambiwe ninachopenda kusikia kuhusu jeshi hebu kuwa serious, mtu hawezi kutoka tu huko akakurupuka kubishia mambo asiyoyajua kuhusu jeshi, ukiona tunabisha ujue tumepita huko au tuna mifano

Sasa shida ni kwamba mnataka hata pale mnapopotosha tusiwakosoe tukae kimya tu, mngekuwa ninyi maaskari kweli msingekuja na kauli za kusema eti mujibu hawahitajiki jeshini kisa course yao miezi mitatu na blah blah nyingine, mnasahau kwamba hata mujibu nao wanafundishwa kutumia silaha na wakimaliza course nao wanaapa na huitwa service men/girls na kupewa namba ila mnajitoa ufahamu tu

Sawa private komaa upandepande vyeo usije ukaishia kuwa corporal tu, na usije ukaongea tena huo ujinga mbele ya wakubwa zako huko jeshini, hasa hao maofficer mnaowapigia salute maana wengi ndio mujibu
Akili Mingi sana We jamaa📌...Usimalize mafuta kumwashia kipofu Taa.
 
Sahihi kabisa,watoto wa wakulima wajiandae tu na kutunza damu
Haswaa Haswaa mana naamin kabisa kitu cha MB's za kutosha kitashushwa pengine zaid ya Mwaka jana mana hpa katikat nchi imepitia matukio mengi sana hiyo ni Ishara tosha kwmb PT demands alot as much as Possible
 
Vituo vipya vmejengw vingi sana mwka huu tanga n km vitatu nnavyo vifaham tena kwa nguvu ya raia wenyew musoma napo ko It show clearly kabsa Upo uhitaji kwahyo Never give up, keep it up mtakuja hpa hpa kila mtu kutoa ushuhuda wa furaha..ntakuja ku like📌
 
On de way...na sidhan km next week itapita trust me Linda Damu na mwili Askari Wachan na wadada piga zoez taratibu damu ifany adaption

Sawa sawa kamanda Shukrani sana, lakn kamanda next week ni uhakika ??? Maana kila mtu anasema lake na tumesubiri sana
Nitafurahi sana kama ukinitia moyo Kuwa next week n must
 
Vituo vipya vmejengw vingi sana mwka huu tanga n km vitatu nnavyo vifaham tena kwa nguvu ya raia wenyew musoma napo ko It show clearly kabsa Upo uhitaji kwahyo Never give up, keep it up mtakuja hpa hpa kila mtu kutoa ushuhuda wa furaha..ntakuja ku like[emoji419]

Amina daaah Shukrani sana unatupa moyo vijana ngja tutunze damu
 
Naanza kuwaelewa wale wanaosema kwamba jeshini wengi wanaoleta ujuaji na umwamba ni hawa askari wa vyeo vya chini na ndio hawa wanaoonea raia huko mitaani na kuwapa adhabu za kijinga, ni ngumu kukuta mwanajeshi mwenye nyota analeta ujuaji na umwamba au kupotosha raia kuhusu haya mambo, humu kuna maofficer wa jeshi kibao tunawafahamu ila hatujawahi kuwaona kwenye huu uzi wakibishana shida iko kwa hawa wazee wa mbavu na shati tupu japo ni baadhi siyo wote
Kuna ukweli ndani yake , imagine meja anakwambia uombe then private anawaambia msiombe .
IMG_20230312_104723.jpg
 
Back
Top Bottom