BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Kaka Chief hapo juu amesema tutulie tuDaaah sema hili Pdf la pt linatupeleka mpwite pwiteee yan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ni mengi na yameanza tangu dec Yan kila siku watu wanaibuka na mapya Kuwa siku flan Pdf linamwagwa yan tunasubiri mpka tunachoka
Tuna mishe za kufanya Ndio na zinatuingizia pesa ila kama mtu na akili zako huwezi sema huwazii Pdf la pt kozi it’s better to know upo au haupo ungoze nguvu Zingne
For sure it’s so sad, watu wengi wanajichekesha hapa na kujifanya wako normal lakn ndani ya mioyo Yao wanaugulia kukaa muda mrefu kusubiri Pdf la polisi
For sure TUMECHOKA mioyo imechoka KUSUBIRI [emoji174][emoji419]
Kwani wakat ukifika wakikamilisha taratibu zote za course kuanza watalitoa. PT wakitoa pdf huwa haipiti zaidi y wiki mnaenda kureport hivyo hawawez toa wakat mambo hayajakaa sawa.. hapa unakuw unajipa stress tu mwenyewe kuliwazia sana