Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Major kma major au kuanzia major general
Meja kama meja coz mikoani mjeda mwenye cheo kikubwa huwa ni
1.Kanal
2.luten kanal
3.meja
Na mara nyingi mameja ndio huwa wanakuwa washauri wa migambo so hawa ndio kila kitu as RSM
 
What i know bhana kwa mwanajeshi connection inategemea upo wapi na una uhusiano gani na wakubwa zako.Kuna staff surgent ana muendesha mkuu wa majeshi na luteni kanali maybe yupo mgulani. Mwenye probability kubwa ya kumsaidia mtu kuingia jeshini kwa haraka ni dereva wa mkuu wa majeshi kuliko luteni kanali wa mgulani.
So ukisema mbanga wa uhakika jeshin ni kuanzia major nakataa kabisa kwasababu nimeshuhudia major mmoja alkuwa mgulani na alishindwa kumsaidia mdg wake kupata nafasi jeshin.
Upo sahihi hata kigoma kuna mzee anamuendesha Kanal huwa ana uhakika wa kuingiza mtu mmoja kila nafasi zikitoka

Note
Staff sajenti anatumia ukaribu wake na Kanal kupata nafasi
What if huyo staff sajenti akienda mwenyewe kichwa kichwa anaweza kumpa amri meja au Luten?
 
Mbanga ya uhakika ni kuanzia wale wanaovaa vijogoo (kanali kwenda juu huko kwa majenerali), kwa meja ni ngumu labda naye aongee na wakubwa zake, ila yeye kama yeye hawezi
Hawa wenye vijogoo huwa hawajui watu mara nyingi wanakuja kwenye sahili tu na muda mwingi huwa wanakuwa busy na mambo ya kiutawala tofauti na meja ambae huwa anakuwa front
 
we jamaa nshatambua una utoto mwingi sana unaleta masihara kwenye vitu vya serious kabisa haya ni maisha ya watu watu wanafight....we unatuletea porojo zako hapa....kwana humu ndani we peke yako ndio una connection ya uhakika.....au ulishaona nani humu ndani anahangaika kila kukicha kuipromo connection yake.....tuliosoma cuba tushaelewa kitambo sana hapo unataka uwapige watoto wa masikini wenzako vijisenti tu...pambana brooh fanya kazi maisha so marahisi hvo......eti jamaa wa ikuru.....mtaje majina hapa basi kama unajiamini.....
Pole saana mwanangu ipo siku utapata nafasi na wewe kikubwa kuwa na nidhamu tu

Kuna wazee ujiji wanashinda vijiwe vya kahawa ila wana connection za kuonana na samia
 
Meja kama meja coz mikoani mjeda mwenye cheo kikubwa huwa ni
1.Kanal
2.luten kanal
3.meja
Na mara nyingi mameja ndio huwa wanakuwa washauri wa migambo so hawa ndio kila kitu as RSM
Asilimia kubwa washauri wa mgambo hupendekezwa wale wanajeshi waliostaafu e.g wakuu wa vikosi wastaafu n.k ndo huteuliwa kuwa washauri wa mgambo mkoa au wilayani wanauwezo kozi ya zile saili za ngazi ya wilaya na mikoani
 
Upo sahihi hata kigoma kuna mzee anamuendesha Kanal huwa ana uhakika wa kuingiza mtu mmoja kila nafasi zikitoka

Note
Staff sajenti anatumia ukaribu wake na Kanal kupata nafasi
What if huyo staff sajenti akienda mwenyewe kichwa kichwa anaweza kumpa amri meja au Luten?
Jeshin hakuna mdg kumcommand mkubwa ila ukijielezea as human being mkaweka uafande pembeni it can work coz shida haiangalii cheo
 
Usiwe na target moja kijana, kazi za vyomboni zina limit ya miaka. Komaa na kazi kitaani, Mungu akifungua mlango wa chomboni ni heri, otherwise usikae tu kutegemea sehemu moja.
ofcourse, nakomaa na mishe zingine kitaa, i think , probally kuna siku ambayo siijui mungu, atanifungulia,
 
Kuna wanangu, walipiga kozi ya mgambo, then wakaenda kufanya kazi ya ulinzi, Suma jkt, aisee sijui ilikuwaje, wakaja kusaidiwa na mtu, from no where tu, wakiwa lindoni, sahivi wapo TISS,
 
Connection siyo cheo cha mtu
Connection ni moyo wa mtu...
Anaweza mtu akawa na cheo kikubwa ukamtegemea na ukala ndoige...
Ila mdogo tu Kwa sababu ya ulivyo/unavyoishi nae akakupambania na ukafika malengo
Mchawi ni nidhamu tu... Ndo wanachokiangalia...
 
Canal pale makao makuu ya jeshi ni mdg sana kuanzia Brighedia general ndio uhakika sana sana.
Though kuna rafki yangu mtt wa Brighedia ilibidi aende cadert mwez wa 12 ila alichujwa kisa umri alkuwa na 30yrs.
What i can conclude jeshini anaehusika na ajira(Afisa uajiri jeshini ni Brighedia ****)So kuanzia Brighedia ambae atakuwa senior kwa huyo au waliopiga nae kozi intake moja(Hapa wanaweza kuwa intake moja ila wenzake bado wakawa ni major,canal,luteni kanali inadepend na aliyewahi kupiga kozi ya kupanda cheo na kufaulu mithn) na marafiki zake wa karibu ndo wanaweza atleast kuwa na chance au na huruma yake na moyo wake pia kusaidia kwa wale watakaomfuata direct huwa anawasaidia.
Kanali si mtu mdogo hata wakuu wa makambi nao wana uwezo wa kupenyeza watu na wengi wao huwa ni makanali, pia si lazima mkuu wa ajira awe brigedia jenerali anaweza hata kuwa kanali, mbona mkurugenzi wa habari na mawasiliano ambaye ndiye msemaji mkuu wa jeshi pale makao makuu ana cheo cha luteni kanali
 
Kaka haya mambo hayana formula!!! Mimi nilipewa connection na brigedier kabsa.. Lkn mpaka leo naona hakieleweki kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine huwa hawaweki nguvu nyingi chief...
Ila kama haikupangwa haitafanikiwa..ukilazimisha ukiingia hata kazini changamoto zinakua hazikuishi na utakua unajutia daily
Nanukuu wimbo wa Mwana Fa_Mfalme
"Unapata ulichoandikiwa
 
Kanali si mtu mdogo hata wakuu wa makambi nao wana uwezo wa kupenyeza watu na wengi wao huwa ni makanali, pia si lazima mkuu wa ajira awe brigedia jenerali anaweza hata kuwa kanali, mbona mkurugenzi wa habari na mawasiliano ambaye ndiye msemaji mkuu wa jeshi pale makao makuu ana cheo cha luteni kanali
Kanali aliyepo jkt makutupora mfano na kanali aliyepo makao makuu ya jeshi ambapo kuna mabrigedia wa kutosha ma major general wakutosha are they the same???? They are the same by cheo but wa makutupora canal mfano juu hmna mkubwa wa kumpa amri ndicho nilichomaanisha.
Afisa uajiri jeshini by position ni brighedia makanza ndicho nilichomaanisha
 
Back
Top Bottom