Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mchawi connection unasema wasiombe mara wenzako wana connection kubwa wanapita wanachwa wengine hao ulowataja
Haitajii connection inahitaji akili tu

Kwenye tangazo magereza wenyewe kama wenyewe wamewataka watu wa professional tofauti tofauti wengi tu mpka watu wa kilimo na misitu

Halafu mtu online anakuambia kama wewe sio daktari au mhasibu usiombe licha ya kozi yako kutajwa kwenye tangazo

Sasa we mwenyewe hapo utachagua unamsikiliza nani
 
Hv tiss wanarecruit vp ? Na Kati ya tiss na jwtz wap ndo best kama umepata connection yenye nguvu , uombe ikusaidie uende wap
JWTZ ndio mpango mzima

Tiss ni nzuri ukiwa na elimu ila ukiwa form 4 maslahi ni kidogo saana na hakuna uhakika wa kudumu kazini

Tiss ni NGOs iliyochangamka
 
Haitajii connection inahitaji akili tu

Kwenye tangazo magereza wenyewe kama wenyewe wamewataka watu wa professional tofauti tofauti wengi tu mpka watu wa kilimo na misitu

Halafu mtu online anakuambia kama wewe sio daktari au mhasibu usiombe licha ya kozi yako kutajwa kwenye tangazo

Sasa we mwenyewe hapo utachagua unamsikiliza nani

Naona mdau kama alivyoandika

“Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....”

Maybe anazungumzia mazingira ya kazi utakayo pangiwa ya hizo kada nyengine ambazo anaamini eidha hazina maslahi au mazingira sio rafiki kupelekea kuto furahia fani yako.
 
Wewe una akili mno.....
 
Acheni ujuaji haya Mambo tunayajua kitambo nilishakuwa na vigezo lukuki lkn sikutoboa.alafu jamaa tu akanambia nimepata connection akatoboa na alikuwa disqualified kwa umri pia na baadhi ya sifa hana,sahiv kapangiwa kazi yupo zake DSM anakula asali.
 
Kuna jamaa rafiki angu namjua hizi Ajira za walimu na madaktari zimetoka ila yeye ni mwalimu wa geography alafu kwenye tangazo hawahitajiki walimu wa Geography na history, kaniambia amepata connection nzito hivyo amepata na chomboni atakuja kuingia ni suala la Muda tu....na huyo vigezo hana imagine hapo wapo wengi tu design hii,siye tusiye na watu ndio tunaona impossible alafu tunaona kila kitu kinaendeshwa fair kwnye mchakato wa Ajira kumbe tupo wrong.me nayasema haya Sababu sina connection na nimeshuhudia wenye watu wao wametusua kirahisi tu....
Waziii mzeee hizii mambo zipoo dingii
 
Wewe una akili mno.....

Kwa hiyo mkuu kimsingi hapo unachoona kinasumbua ni Kipi kati ya hivyo; maslahi, mazingira sio rafiki au vyote kwa pamoja?

Na vipi kada hizo zingine ukipangiwa sehemu nzuri ukitoka Kiwira kama shida ni mazingira sio rafiki?
 
Kuna jamaa rafiki angu namjua hizi Ajira za walimu na madaktari zimetoka ila yeye ni mwalimu wa geography alafu kwenye tangazo hawahitajiki walimu wa Geography na history, kaniambia amepata connection nzito hivyo amepata na chomboni atakuja kuingia ni suala la Muda tu....na huyo vigezo hana imagine hapo wapo wengi tu design hii,siye tusiye na watu ndio tunaona impossible alafu tunaona kila kitu kinaendeshwa fair kwnye mchakato wa Ajira kumbe tupo wrong.me nayasema haya Sababu sina connection na nimeshuhudia wenye watu wao wametusua kirahisi tu....
Huyo jamaa yako sijamuelewa yani sasa hv anaajiriwa Tamisemi halfu baadae ndio ataingia chomboni
 
Kwa hiyo mkuu kimsingi hapo unachoona kinasumbua ni Kipi kati ya hivyo; maslahi, mazingira sio rafiki au vyote kwa pamoja?

Na vipi kada hizo zingine ukipangiwa sehemu nzuri ukitoka Kiwira kama shida ni mazingira sio rafiki?
[emoji38][emoji38] anyway sio kila kitu cha kuweka humu,,,ishini nahiyo hints nilioitoa japo kwa ufupi....

Za kuambiwa changanya na zako......
 
Huyo jamaa yako sijamuelewa yani sasa hv anaajiriwa Tamisemi halfu baadae ndio ataingia chomboni
Yupo mtaani ila anapambaniwa aingie ualimu,pamoja ya kwamba yeye si mwalimu wa masomo tajwa yaliyohitajika
 
Tujaribu kutafuta connection kubwa za uhakika ili tuondoke mtaani,binafsi kama ningekuwa na mbuyu mkubwa ningekuwa nalamba asali ya nchi.nawashauri hivyo pengine kutegemea bahati ni nadra Sana tena Sana kutoboa,me nishategemea Sana bahati miaka nenda miaka Rudi hakuna nilichafanikiwa zaidi kufanya usaili tu.
 
[emoji38][emoji38] anyway sio kila kitu cha kuweka humu,,,ishini nahiyo hints nilioitoa japo kwa ufupi....

Za kuambiwa changanya na zako......
Kweli hata hao TISS humu wapo wanawachora tu munavopeana maujanja ya kuingia chomboni kiurahisi
 
Waambie vijana watafute connection wasiseme sijui usiombe kama siyo fani fulani wakati ajira zenyewe za majeshi
Ndio hvyo kaka kwenye kupata kitu lazima uweke jitihada ...
mfano kwa sasa tunaoendelea kutafta channel sio kwamba tuache kuaapply La hasha...
Mm huwa naapply hvyo hvyo na sina maelekezo yoyote yale
 
Back
Top Bottom