Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu habari, ofisi za kamanda wa polisi mkoa wa DSM zipo maeneo gani? Maana silifahamu vizuri jiji la Dar naomba mnielekeze nataka kupeleka nakala zangu.
Ahsante.
 
Yah ngoja nijaribu kuomba ikitiki nasimama chuo naenda kupambania nafasi
Riziki ya mtu anaepanga ni Mungu but Mungu anatutaka sisi kutafuta tu sababu ya kupitishia riziki zetu

Mwaka jana TPA walitoa nafasi za mechanical wakitaka level 3 za Veta nikawaambia madogo 5 pale kitaa wanne wakagoma kuomba wakidai hizo nafasi zina wenyewe Dogo mmoja akaomba

Kiuhalisia zile nafasi watu walikuwa wameshagawana na kupenyeza ndugu zao but Huyu Dogo aliwakimbiza kwenye practical mpaka wakaona aibu jinsi ya kumkata
Kinachonisikitisha ni kuwa huyu Dogo now ni Limbukeni mwezi uliopita nimeona kanunua harrier aliyakuwa mm Nina miaka 5 job ila ni BM 150 tu
 
Makamanda...samahani nilituma barua polisi juzi ila ni mtu alinipelekea sababu me nilikuwa mbali
Sa katika kutuma vyeti nikasaau kumtumia namba za nida...kwaio alivyopeleka hakuweka..

Sa wanangu apo ntaitwa kweli kwenye usaili ata au ndo nishadisqualify juu kwa juu?
 
Riziki ya mtu anaepanga ni Mungu but Mungu anatutaka sisi kutafuta tu sababu ya kupitishia riziki zetu

Mwaka jana TPA walitoa nafasi za mechanical wakitaka level 3 za Veta nikawaambia madogo 5 pale kitaa wanne wakagoma kuomba wakidai hizo nafasi zina wenyewe Dogo mmoja akaomba

Kiuhalisia zile nafasi watu walikuwa wameshagawana na kupenyeza ndugu zao but Huyu Dogo aliwakimbiza kwenye practical mpaka wakaona aibu jinsi ya kumkata
Kinachonisikitisha ni kuwa huyu Dogo now ni Limbukeni mwezi uliopita nimeona kanunua harrier aliyakuwa mm Nina miaka 5 job ila ni BM 150 tu
Unatupanga sana hiv kuna faida gan unapata?
 
Back
Top Bottom