mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Leteni shuhuda!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameambiwa waende kwenye mikoa Yao kuangalia majinaWale wa form 4 nawao vipi
Tangazo linasema majina yao yamebandikwa kwenye mbao za matangazo mkoaWale wa form 4 nawao vipi
Majina yapo kwa kamanda wa mkoa ulipo omba.Wale wa form 4 nawao vipi
Ushuhuda wa nini unataka??Leteni shuhuda!!
Ya 2022 ileeUhamiaji washaaapa jana wakuu au wale ni depo ipi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mwambie , ukiwa na mbanga hamna ugumu.Chief Kinachoshindikana chini ya jua ni kurudisha UHAI tu.
kuna swali niliuliza kule juu,zanzibar wanachukua watu wa zenji tu? maana nimetafta jina la kikristo hamna,japo kuna wakristo wana majina ya kiislamuZanzibar hakuna nyomi degree ni watu 55 View attachment 2718868
Mbona wamo humo kuna Wana wameomba na wanatokea tanzania bara angalia freshkuna swali niliuliza kule juu,zanzibar wanachukua watu wa zenji tu? maana nimetafta jina la kikristo hamna,japo kuna wakristo wana majina ya kiislamu
NEXT TIME NA MIMI NTAOMBA KUPITIA ZANZIBAR HALAFU WALITAKA HADI EDUCATIONMbona wamo humo kuna Wana wameomba na wanatokea tanzania bara angalia fresh
Ndio walihitaji Hadi watu wa educationNEXT TIME NA MIMI NTAOMBA KUPITIA ZANZIBAR HALAFU WALITAKA HADI EDUCATION
Mkuu Umewahi kufika ZANZIBAR(PEMBA AU UNGUJA)?NEXT TIME NA MIMI NTAOMBA KUPITIA ZANZIBAR HALAFU WALITAKA HADI EDUCATION
Umenipa somo chief..Mkuu Umewahi kufika ZANZIBAR(PEMBA AU UNGUJA)?
Ngoja nikuibie Siri.
Ajira za Zanzibar kama huna Kitambulisho chao cha Mzanzibar mkazi wala usijisumbue kuomba, hata kama utakipata hicho kitambulisho pia lazima uwe na connection za watu maana Wazanzibar wanajuana Aina ya majina yao maana huku hakunaga yale majina ya ukoo kama MASANJA, MSANGI, MSUYA, MTAO, CHAMBALA etc kwahyo kwenye Saili wakiona unajina kama hili hata kama unakitambulisho utashangaa unabananishwa uelezee Kitambulisho umekipata vipi unless uwe na connection.
Zanzibar kutoboa kwenye kazi ni vyepesi sana maana hamna ushindani kabisa , ila issue ni kwamba unajulikana na nani???
Hatari sana chief kwa hio ni ngumuuMkuu Umewahi kufika ZANZIBAR(PEMBA AU UNGUJA)?
Ngoja nikuibie Siri.
Ajira za Zanzibar kama huna Kitambulisho chao cha Mzanzibar mkazi wala usijisumbue kuomba, hata kama utakipata hicho kitambulisho pia lazima uwe na connection za watu maana Wazanzibar wanajuana Aina ya majina yao maana huku hakunaga yale majina ya ukoo kama MASANJA, MSANGI, MSUYA, MTAO, CHAMBALA etc kwahyo kwenye Saili wakiona unajina kama hili hata kama unakitambulisho utashangaa unabananishwa uelezee Kitambulisho umekipata vipi unless uwe na connection.
Zanzibar kutoboa kwenye kazi ni vyepesi sana maana hamna ushindani kabisa , ila issue ni kwamba unajulikana na nani???
mambo ni yaleyale mkuu, kwamba unajulikana na nani basiMkuu Umewahi kufika ZANZIBAR(PEMBA AU UNGUJA)?
Ngoja nikuibie Siri.
Ajira za Zanzibar kama huna Kitambulisho chao cha Mzanzibar mkazi wala usijisumbue kuomba, hata kama utakipata hicho kitambulisho pia lazima uwe na connection za watu maana Wazanzibar wanajuana Aina ya majina yao maana huku hakunaga yale majina ya ukoo kama MASANJA, MSANGI, MSUYA, MTAO, CHAMBALA etc kwahyo kwenye Saili wakiona unajina kama hili hata kama unakitambulisho utashangaa unabananishwa uelezee Kitambulisho umekipata vipi unless uwe na connection.
Zanzibar kutoboa kwenye kazi ni vyepesi sana maana hamna ushindani kabisa , ila issue ni kwamba unajulikana na nani???
Hilo linaelewekamambo ni yaleyale mkuu, kwamba unajulikana na nani basi