Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Zanzibar hakuna nyomi degree ni watu 55
IMG-20230816-WA0005.jpg
 
kuna swali niliuliza kule juu,zanzibar wanachukua watu wa zenji tu? maana nimetafta jina la kikristo hamna,japo kuna wakristo wana majina ya kiislamu
Mbona wamo humo kuna Wana wameomba na wanatokea tanzania bara angalia fresh
 
NEXT TIME NA MIMI NTAOMBA KUPITIA ZANZIBAR HALAFU WALITAKA HADI EDUCATION
Mkuu Umewahi kufika ZANZIBAR(PEMBA AU UNGUJA)?

Ngoja nikuibie Siri.
Ajira za Zanzibar kama huna Kitambulisho chao cha Mzanzibar mkazi wala usijisumbue kuomba, hata kama utakipata hicho kitambulisho pia lazima uwe na connection za watu maana Wazanzibar wanajuana Aina ya majina yao maana huku hakunaga yale majina ya ukoo kama MASANJA, MSANGI, MSUYA, MTAO, CHAMBALA etc kwahyo kwenye Saili wakiona unajina kama hili hata kama unakitambulisho utashangaa unabananishwa uelezee Kitambulisho umekipata vipi unless uwe na connection.
Zanzibar kutoboa kwenye kazi ni vyepesi sana maana hamna ushindani kabisa , ila issue ni kwamba unajulikana na nani???
 
Umenipa somo chief..
Sijawahi fika zanzibar kabisa
 
Hatari sana chief kwa hio ni ngumuu
 
mambo ni yaleyale mkuu, kwamba unajulikana na nani basi
 
Back
Top Bottom