Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jana Makamanda 3000+ walimaliza intake ya 41 pale Kihangaiko mbele ya Mkuu wa utawala jeshini Meja Jenerali Marco Kaguti.

Intake iliingia Mei mosi ikamaliza jana.

Hivyo basi wale watu mambo yashaanza kuiva hivyo.. kwahiyo mambo soon yanajipa.

Katika siku kama hizi watu wengi hua wanatapeliwa kwahyo tuwe makini makamanda.
 
Mkuu punguza Mteru.

Hamna sehemu yenye mapuuza kama PT.

Usahili wa professional mnaweza mkaitwa 2500+ ila wakachukua watu wao 100 tu tena wenye maelekezo mazito shida yao wawapige 10k za vipimo tu..

Kikubwa andaa 'mifumo' na wewe upenye.
Dahhh tutafika tu mkuu mm kuna wana nimewaskia hawaend kabisa Wana maelekezo kutoka juu
 
a9298219-34dd-4ac1-a8c8-a2901e28212c-png.2797935

Oya hao watu washawahi kwenda JKT kwa kujitolea au..wamepigiwa simu ndio waende JKT.
 

Attachments

  • A9298219-34DD-4AC1-A8C8-A2901E28212C.png
    A9298219-34DD-4AC1-A8C8-A2901E28212C.png
    193.4 KB · Views: 59
Back
Top Bottom