Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jana Makamanda 3000+ walimaliza intake ya 41 pale Kihangaiko mbele ya Mkuu wa utawala jeshini Meja Jenerali Marco Kaguti.

Intake iliingia Mei mosi ikamaliza jana.

Hivyo basi wale watu mambo yashaanza kuiva hivyo.. kwahiyo mambo soon yanajipa.

Katika siku kama hizi watu wengi hua wanatapeliwa kwahyo tuwe makini makamanda.
vijana wa St. Peter na makumbusho lonja sipoje mkuu
 
mwakani hali ikiendelea hivi nitongoze hata mkuu wa wilaya mmoja mzuri mzuri nimuahidi NDOA ili anihakikishie nafasi hata ya magereza[emoji2]
Afadhali wewe, unaweza kuinteract hata na hao mkuu. Sisi wengine kukutana na huyo mkuu wa wilaya ni mpaka itokee sherehe ya mwenge ndio anaonekana mtaani kwetu. Sema roho inauma sana kuwa mnyonge kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom