Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naomba niulize swali wakuu, hivi hawa wanaoenda CCP
Vile vifaa walivyoagizwa kama Kwanja na ndoo unaenda nazo kuripoti nazo makao makuu au wanunuliaga huko vifaa vingine?
 
Nipe kaka miongozo kuna mwanangu amepata hajui hata moja kuhusu CCP, Hapo yenyewe nimesaidia kumuulizia maana alikuwa anawaza kubeba mindoo mara mikwanja
 
sio mbaya kubeba but akibeba vingi atayeseka navyo getini akati wa kuingia,yupo wapi yeye
Mkuu sorry mtu akifanikiwa kumaliza koz CCP mfano ameenda kidato Cha sita anaweza pata promotion ya kwenda nyota kusomea Kwa kidato Cha sita??? Ina chukua muda gan kujiendelez masomo in case uli drop chuo
 
Elimu kubwa na muda wa kukaa kazini ndio kutakupeleka kuchukua nyota. Ushauri wangu ukishaingia chomboni jiendeleze kielimu Coz otherwise unaweza jikuta unakaa zaid ya miaka 10 ndio unapata ucoplo au usajenti
 
Asante mkuu sorry mtu maybe kaingia akiwa amen drop chuo mwaka wa mwisho akimaliza koz kazini anawez kukaa muda Gani aweze kusomea nyota
 
Back
Top Bottom