Nafasi za kazi shambani Mufindi iringa. Mashamba ya Chai

Tena wengi wa dar pale ni buku 4!
Wambieni watu wenye shida na kazi hiyo ni fursa….kulipwa 7000 uko iringa inalipa zaidi kuliko uku dar…..

Watu wenye shida ya kazi na wasio wavivu hiyo ndio fursa sasa

Serikali iingilie kati haiwezekani kumlipa mtu tena kiwandani officially kabisa kwa buku 4 wakati saidia fundi anaondoka na 15 per day.
 
Huna baya
 
Niliwah kuishi na kufanya kazi huko..tatizo Kuna radi balaa (sijawahi kuona sehemu watu Wana heshimu dalili za mvua Hadi mvua yenyewe kama huko)...ila nimepakumbuka sana...
 
Eneo lenye mfadhaiko wa kutosha, watu wanafanyana hadi wanapewa special off wakanywe dawa.
Msalimie shemeji yangu mke wa Sanga kama bado yupo
 
Kama huna mishe, ni nzuri kwenda kujaribu. Kazi hufungua kazi. Wasiwasi wangu tu mtu atoke say bukoba, afike huko hakuna kazi.
 
Mkuu vipi kuhusu suala la msosi unapewa chakula? Nisaidie mawasiliano yako nataka kuja kuanzisha kiwanda changu.

Nimetumia tafsida hapo zamani niliwahi kujidai tajiri hapa jf nafkiri umenielewa hapo kwenye kuanzisha kiwanda
 
MSAADA WA KUFUNGUA PM YANGU SIWEZI KUSOMA WALA KUTUMA SMS nataka kuwasiliana na huyo mtoa post nashindwa au Kama Kuna mtu mwenye mawasiliano yake naomba
 
Eneo lenye mfadhaiko wa kutosha, watu wanafanyana hadi wanapewa special off wakanywe dawa.
Msalimie shemeji yangu mke wa Sanga kama bado yupo
Sanga wa mlimani ama.
 
Kama huna mishe, ni nzuri kwenda kujaribu. Kazi hufungua kazi. Wasiwasi wangu tu mtu atoke say bukoba, afike huko hakuna kazi.
Kazi ni uhakika ndugu yangu. Mashamba yapo ,chai zimechanua na maslahi yenye uhakika yapo
 
N
Kama huna mishe, ni nzuri kwenda kujaribu. Kazi hufungua kazi. Wasiwasi wangu tu mtu atoke say bukoba, afike huko hakuna kazi.
Ndiyo mkuu .hakuna kama kitu kibaya kama mtu kukaa bila kazi. Na kazi ndio kipimo cha kukomaa kiakili.
 
Mkuu vipi kuhusu suala la msosi unapewa chakula? Nisaidie mawasiliano yako nataka kuja kuanzisha kiwanda changu.

Nimetumia tafsida hapo zamani niliwahi kujidai tajiri hapa jf nafkiri umenielewa hapo kwenye kuanzisha kiwanda
Ukini pm ni vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…