King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tena wengi wa dar pale ni buku 4!
Wambieni watu wenye shida na kazi hiyo ni fursa….kulipwa 7000 uko iringa inalipa zaidi kuliko uku dar…..
Watu wenye shida ya kazi na wasio wavivu hiyo ndio fursa sasa
Serikali iingilie kati haiwezekani kumlipa mtu tena kiwandani officially kabisa kwa buku 4 wakati saidia fundi anaondoka na 15 per day.